Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Unskilled labours hazipo kwa wahamiaji wa "work permit route".

Isipokuwa zipo kwa njia zingine kama vile "asylum" ambayo haina uhakika.

Ni kwa ajili ya soko la ndani kwa kazi za ufagizi, uyaya, kuosha magari, baadhi ya kazi za uboharia, baadhi ya kazi za ulinzi khasa za kukaa getini gahehouse na zingine za ubebaji maboksi.
Vp kuhusu biomedical engineering mkuu
 
tatizo umeshakua na corrupted mind hadi hauwazi sawa sawa.imagine,umekuja newcomer,una beg la nguo zako mbili tatu za kariakoo afu unapokewa na vijana wenzio ambao wameshaishi muda mrefu,wana vitu vyenye majina nani ataeogopa mwenzie asimuibie?wewe newcomer? au wenyeji wako ndo wakuogope wewe?pesa utakua nazo kwenye card yako.nani atachukua kadi yako wakati unayo muda wote na password waijua mwenyewe?Kama umetumwa kukatisha watu tamaa,shindwa ktk jina la Yesu
[emoji121]
MKUU,

MIMI NIMEULIZA ILI NIPATE UFAFANUZI,
KWANI WANAOPIGWA UGHAIBUNI SIO NEWCOMERS??!!

HALAFU ISHU YA ETI NIMETUMWA INAKUJAJE??
WEWE FAFANUA ULICHOULIZWA,
SIO WATOKWA POVU TU KAMA MAPOROMOKO YA MTO MISSISSIP!!!

EEEEEBOH!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
wanaotaka kuzamia sauz,karibuni capetown.mje na hela ya kuchangia geto kama laki moja na nusu kwa miez mitatu,hela ya kula kama laki na nusu pia.msibebe cash.weka ktk tembocard kama laki tano.utakaa poa kwa miez mitatu.mimi nitawasaidia kuwapa watu wa kujichanga nao.msosi ni ugali na chicken shushia na kingsley cola baridiii.nadhan ndan ya miez mitatu utakua umeshakua mwenyeji.msiogope kitu.kwa maswali naomba uliza hapa not pm.
Segito,samahani sasa umesema unataka kuondoka kwa sisi tunataka kweli kabisaa kujilipua na kuja kuangalia maisha huko na km ulivyosema tunakaribishwa kwako utatusaidia itakuwaje?
 
hii thread ningeipata kabla sina vijana wangu hapa hasa huyu anayenyonya ningeshaondoka na nguo niliyovaa tuu ila sasa nikiwaangalia niende mpaka nisettle ndio niwachukue napata wakati mgumu sana

Kuna kipindi tulipataga mwaliko marekani kwenye hotel moja ya huko Maryland. tungetakiwa kutumia h2b visa ikakutana na september 11 ile issue ya pentagon wakablock passport baada ya mwaka tukaanza tena kufuatilia mmh issue ikagoma tena mpaka leo nimebaki na document na passport ambayo hata haijawahi vuka boarder na imeisha muda wake

Kupitia uzi huu nadhani mtu unaweza kwenda provided u have enough cash u can make it. Au kuna muungwana anaweza kunisaidia na watoto wangu haaa haaaa
Samahani ila watoto wasiwe kikwazo cha wewe kutoka
Naamini una ndugu na jamaa ambao unaweza ukawaambia unaenda wapi na si lazima uwaambie vyoote baada ya mwaka unaweza fanya process za kuchukua watoto wako ni kupiga moyo konde na kukomaa tuu.
Mi mwenyewe naangalia km account yngu unasoma mil.2 hivi namtafuta segito nasepa.
 
Wadau, katika kuhangaika, nilikua nafatilia chuo cha kusoma occupational health and safety online, kama alivyotushauri mkuu Izzo., nikakutana na hichi chuo hapo chini. nimesita kufanya registration/ naomba mwenye ujuvi tujulishane kama hichi chuo kipo kweli au la
oshacademy_header.jpg
 
Vitu vya kuzingatia ili kuwa host wa wageni.
MAONI YANGU KWA MR. IZZO
Type of photo that can be helpfully for assessment of the hosts. These are major things to be considered also given amount should really expressed on given services.

1. Front of your home- A seen front from the street, this is the your student/ guest will see upon arriving on the first day
2. Family photo- A group shot of all family members living in your home
3. Living room-/ Sebuleni/sitting room- show where your family spends time
4. Kitchen- include where guest can prepare meals
5. Bedroom - show bed and possibly window
6. Bathroom - show bathroom to be used by guest
7. Others-pets, such as cats, dogs mention whether you do drinking alcohol or smoking be freely you will be connected with guest of your interest.
Family level of peace and harmony all these and few others are of great importance and should never be underrated #Izzo#all others
Sorry guys nilipost kimakosa kwenye Uzi wa Tapeli The britanica
 
Segito,samahani sasa umesema unataka kuondoka kwa sisi tunataka kweli kabisaa kujilipua na kuja kuangalia maisha huko na km ulivyosema tunakaribishwa kwako utatusaidia itakuwaje?

Dada Shyshi
Vipi ile dili ya New Zeland? Ukifikia wapi?
 
Kama wewe ni mzazi. Unaweza kumpa mtoto wako mtu uliyekutana nae online with fake id?
Huwezi, lakini niseme kwa hali ya sasa huwezi kuishi na mgeni bila balozi kujua, na hata serikali ya mtaa kuwa na taarifa huo ndo utakuwa utaratibu mzuri utakaofanyika. Sasa usijaribu kukatisha watu tamaa kuonyesha vikwazo, vitisho bila suruhisho la hayo usemayo. Subiri muda utafika tutajitokeza rasmi kwa uhalisia wa majina yetu, namba za nyumba , mtaa, kata yote yatakuwa mezani.
 
Bofya hapa: Electronic Diversity Visa Lottery

DV Entrant Status Check
2018 Entrant Status Check

DV-2018 Entrants may enter their confirmation information through the link below starting at noon (EDT) on May 2, 2017. The DV-2018 registration period opens on October 4, 2016, and closes on November 7, 2016. DV-2018 Entrants should keep their confirmation number until at least September 30, 2018.

2017 Entrant Status Check
DV-2017 Entrants (those who entered the DV lottery between October 1, 2015 and November 3, 2015) have until September 30, 2017 to check the status of their entry through this website. The DV-2017 registration period was from October 1, 2015, until November 3, 2015.

Click the link below to check DV-2018 and DV-2017 Entrant Status.

Check Status

PAPERWORK REDUCTION ACT: Public reporting burden for this collection of information is estimated to average 30 minutes per response, including time required for searching existing data sources, gathering the necessary documentation, providing the information and/or documents required, and reviewing the final collection. You do not have to supply this information unless this collection displays a currently valid OMB control number. If you have comments on the accuracy of this burden estimate and/or recommendations for reducing it, please send them to: PRA_BurdenComments@state.gov.

CONFIDENTIALITY STATEMENT: AUTHORITIES: The information asked for on this form is requested pursuant to Section 222 of the Immigration and Nationality Act. INA Section 222(f) provides that visa issuance and refusal records shall be considered confidential and shall be used only for the formulation, amendment, administration, or enforcement of the immigration, nationality, and other laws of the United States. Certified copies of visa records may be made available to a court which certifies that the information contained in such records is needed in a case pending before the court
 
Vitu vya kuzingatia ili kuwa host wa wageni.
MAONI YANGU KWA MR. IZZO
Type of photo that can be helpfully for assessment of the hosts. These are major things to be considered also given amount should really expressed on given services.

1. Front of your home- A seen front from the street, this is the your student/ guest will see upon arriving on the first day
2. Family photo- A group shot of all family members living in your home
3. Living room-/ Sebuleni/sitting room- show where your family spends time
4. Kitchen- include where guest can prepare meals
5. Bedroom - show bed and possibly window
6. Bathroom - show bathroom to be used by guest
7. Others-pets, such as cats, dogs mention whether you do drinking alcohol or smoking be freely you will be connected with guest of your interest.
Family level of peace and harmony all these and few others are of great importance and should never be underrated #Izzo#all others
Sorry guys nilipost kimakosa kwenye Uzi wa Tapeli The britanica
Daby kagua huo ujumbe kwa umakini, usipoelewa niambie nikueleweshe, kuna kitu muhimu sana
 
Bofya hapa: Electronic Diversity Visa Lottery

DV Entrant Status Check
2018 Entrant Status Check

DV-2018 Entrants may enter their confirmation information through the link below starting at noon (EDT) on May 2, 2017. The DV-2018 registration period opens on October 4, 2016, and closes on November 7, 2016. DV-2018 Entrants should keep their confirmation number until at least September 30, 2018.

2017 Entrant Status Check
DV-2017 Entrants (those who entered the DV lottery between October 1, 2015 and November 3, 2015) have until September 30, 2017 to check the status of their entry through this website. The DV-2017 registration period was from October 1, 2015, until November 3, 2015.

Click the link below to check DV-2018 and DV-2017 Entrant Status.

Check Status

PAPERWORK REDUCTION ACT: Public reporting burden for this collection of information is estimated to average 30 minutes per response, including time required for searching existing data sources, gathering the necessary documentation, providing the information and/or documents required, and reviewing the final collection. You do not have to supply this information unless this collection displays a currently valid OMB control number. If you have comments on the accuracy of this burden estimate and/or recommendations for reducing it, please send them to: PRA_BurdenComments@state.gov.

CONFIDENTIALITY STATEMENT: AUTHORITIES: The information asked for on this form is requested pursuant to Section 222 of the Immigration and Nationality Act. INA Section 222(f) provides that visa issuance and refusal records shall be considered confidential and shall be used only for the formulation, amendment, administration, or enforcement of the immigration, nationality, and other laws of the United States. Certified copies of visa records may be made available to a court which certifies that the information contained in such records is needed in a case pending before the court
BAK HEBU ONGEA KIDOGO KUHUSU HILI BANDIKO.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom