Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mutasha
Ukinunua tiketi Kabla ya kupata visa ni hasara kwako.Kwenye tovuti ya ubalozi wa Merekani
Wameeleza wazi kwamba usinunue tiketi mpaka upate visa.Sijui utaratibu wa mabalozi wa nchi zingine.Kama nilivyo kueleza hapo awali:visa ni ya miezi 6 mpaka 12 unaweza kuondoka wakati wowote.Mfano umepata visa mwezi wa May 20 2017 utapanga kuondoka June 21 2017 tiketi yako itakuwa rahisi $300
www.cheapoair.com
Muhimu unajitayarisha Na kupata visa kwanza halafu mambo ya tiketi NI ya mwisho.
Mkuu nashukuru sana, nimeelewa vizuri. be blessed
 
Nimefuatila huu Uzi mwanzo,nimechukua hints za muhimu mwanzo mwisho,MALTA,SWEDEN,JAPAN.Next year nitakuwa ndani ya moja kati ya nchi hizo,ASANTENI SANA lusungo BAK Richard segito wa kalenga na mkuu izzo Japo mkuu hizo imani yangu kwako Ipo 50/50.lakini naapriciate mchango wako mkubwa ulioutoa humu, nakubali pia mchango wako Kaveli .......ONCE I MADE IT NITARUDI JAMII FORUM KUWASHUKURU NEXT YEAR.GOD BLESS YOU ALL,GOD BLESS JAMII FORUM,GOD BLESS TANZANIA IN DIASPORA.
 
Unaposema 50% inatakiwa ueleze ni kitu gani kimekupa wasiwasi, pili itakuwa pia ni Faida kwa wengine Nadhani kama umesoma post zangu kwenye thread hii toka post ya kwanza mpaka ya Mwisho Unaweza jua msimamo wangu juu ya swala hili.

Pili nilichokuwa nachangia ni kile ninachokifahamu that's all, sikulazimisha mtu yeyote pia hakuna mtu mwenye swali au hofu juu ya machapisho yangu hapa aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu na ndio maana nilipoona kama kunakuwa na vitu na habari za ajabu nili withdraw na hakuna mtu yeyote kama yupo aseme kama niliwasiliana nae PM au kutaka chochote kutoka kwake. Na mambo kama haya ndio yananifanya niache kila kitu juu ya jukwaa hili kwani duniani sidhani kama unaweza kufanya jambo na mtu au watu ambao amuaminiani

Pia umezungumzia Malta mm ndio niliyeleta issue ya Malta hapa, hakuna mtu aliyekuwa anajua au kuwaza juu ya Malta so Nadhani nia yangu ilikuwa ni nzuri na nilikuwa nipo tayali kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kwani nilichokuwa nakitaka kukifanya kiliitaji kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kabisa, si kwa hz fake names najua kutoka moyoni kwako moja ya post zangu au za wadau wengine zimekuhamashisha ktk safari yako ya kutoka Tanganyika na niseme ukweli ktk vitu nilivyojutia ni kitendo kwa mtu kuanza kashfa zake juu yangu kwa mm kutaka kusaidiana na wenzangi juu ya mbinu na mipango ya kutaka Tanganyika kwa wale wanaoitaji kufanya hvyo tena nikisisitiza for free, najutia sana kiukweli
 
Wakuu nadhani huyu nae ni kama yule jamaa, lengo lao ni kuharibu huu uzi coz huwezi kuja ktk jukwaa na kusema eti humuani mkuu IZZO kwa lipi? kuna kitu kakudanganya? Kama labda ww unaona unajua zaidi yake u would still cool coz yeye kajitolea kwa moyo wake wote kutupa mbinu anazozijua ktk kufanikisha malengo yetu alafu eti unajitokeza na kusema eti humuamini kwa lipi ????? Mkuu Izzo just take it easy coz all we ar person but soo different in personality, I belive Jah ll bless ya 4 ur uniqu soul & ur wiseness.
 
Unaposema 50% inatakiwa ueleze ni kitu gani kimekupa wasiwasi, pili itakuwa pia ni Faida kwa wengine Nadhani kama umesoma post zangu kwenye thread hii toka post ya kwanza mpaka ya Mwisho Unaweza jua msimamo wangu juu ya swala hili.

Pili nilichokuwa nachangia ni kile ninachokifahamu that's all, sikulazimisha mtu yeyote pia hakuna mtu mwenye swali au hofu juu ya machapisho yangu hapa aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu na ndio maana nilipoona kama kunakuwa na vitu na habari za ajabu nili withdraw na hakuna mtu yeyote kama yupo aseme kama niliwasiliana nae PM au kutaka chochote kutoka kwake. Na mambo kama haya ndio yananifanya niache kila kitu juu ya jukwaa hili kwani duniani sidhani kama unaweza kufanya jambo na mtu au watu ambao amuaminiani

Pia umezungumzia Malta mm ndio niliyeleta issue ya Malta hapa, hakuna mtu aliyekuwa anajua au kuwaza juu ya Malta so Nadhani nia yangu ilikuwa ni nzuri na nilikuwa nipo tayali kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kwani nilichokuwa nakitaka kukifanya kiliitaji kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kabisa, si kwa hz fake names najua kutoka moyoni kwako moja ya post zangu au za wadau wengine zimekuhamashisha ktk safari yako ya kutoka Tanganyika na niseme ukweli ktk vitu nilivyojutia ni kitendo kwa mtu kuanza kashfa zake juu yangu kwa mm kutaka kusaidiana na wenzangi juu ya mbinu na mipango ya kutaka Tanganyika kwa wale wanaoitaji kufanya hvyo tena nikisisitiza for free, najutia sana kiukweli

Mkuu Izzo
Wala hunahaja ya kujutia mchango wako mkubwa kwenye hili jukwaa."No good deed goes unpunished" Wahenga wa majuu walisema. Fanya wema kwa sababu umetaka kufanya sio Kwa sifa Au kulipwa.Mkuu Izzo mimi binafsi nachangia Kwa kile Ninacho kijuwa.Siwajali Na sito wajali
watu wenye roho za kwanini.
Ubarikiwe sanaaaaa tu Mkuu
 
M
Unaposema 50% inatakiwa ueleze ni kitu gani kimekupa wasiwasi, pili itakuwa pia ni Faida kwa wengine Nadhani kama umesoma post zangu kwenye thread hii toka post ya kwanza mpaka ya Mwisho Unaweza jua msimamo wangu juu ya swala hili.

Pili nilichokuwa nachangia ni kile ninachokifahamu that's all, sikulazimisha mtu yeyote pia hakuna mtu mwenye swali au hofu juu ya machapisho yangu hapa aliyeuliza swali nikashindwa kumjibu na ndio maana nilipoona kama kunakuwa na vitu na habari za ajabu nili withdraw na hakuna mtu yeyote kama yupo aseme kama niliwasiliana nae PM au kutaka chochote kutoka kwake. Na mambo kama haya ndio yananifanya niache kila kitu juu ya jukwaa hili kwani duniani sidhani kama unaweza kufanya jambo na mtu au watu ambao amuaminiani

Pia umezungumzia Malta mm ndio niliyeleta issue ya Malta hapa, hakuna mtu aliyekuwa anajua au kuwaza juu ya Malta so Nadhani nia yangu ilikuwa ni nzuri na nilikuwa nipo tayali kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kwani nilichokuwa nakitaka kukifanya kiliitaji kutoka nyuma ya keyboard na kujulikana kabisa, si kwa hz fake names najua kutoka moyoni kwako moja ya post zangu au za wadau wengine zimekuhamashisha ktk safari yako ya kutoka Tanganyika na niseme ukweli ktk vitu nilivyojutia ni kitendo kwa mtu kuanza kashfa zake juu yangu kwa mm kutaka kusaidiana na wenzangi juu ya mbinu na mipango ya kutaka Tanganyika kwa wale wanaoitaji kufanya hvyo tena nikisisitiza for free, najutia sana kiukweli
Mkuu izzo usiache mbegu uliopanda ipotee wengi humu tunaheshimu mchango wako Na tuko nyuma yako hao wapuuzi wachache ignore them because you're a reflection of what they wish to be
 
kila nikitaka kutoa namba yangu roho inasita yani humu ndani unahitajika uqe na roho ngumu sampuli ya Mshana Jr.ndo utaweza.maana utapondwa,utakatishwa tamaa na usipokua makini utaitwa tapeli.Inaumiza sana hasa kama umejitoa kumsaidia MTU usiemjua Kwa upendo tu wa Agape daaah nashindwa LA kusema zaidi ila naumia kiukweli
 
Saidia tu dada,japo inakatisha tamaa ila kama moyo wako unaamini unachofanya si kwa ajili ya binadamu ila ni kama sadaka mbele za Mungu, usiangalie vikwazo hivyo,just be honest to your God and yourself that's all.
I hope hamtakatishwa tamaa na haya maneno esp.wewe na mkuu izzo
 
Mpuuzi dawa yake ni kumpuuza, Hao wanaokatisha watu tamaa ni wapuuzi, so naomba wakuu tusikatishwe tamaa na hao wapuuzi wachache. Mkuu IZZO, ur wiseness iz so unique, nakukubari sana br. I b.liv God ll do some thing to u pamoja na wakuu wengine wanaochangia ktk kutusaidia kufanikisha malengo yetu.
 
kila nikitaka kutoa namba yangu roho inasita yani humu ndani unahitajika uqe na roho ngumu sampuli ya Mshana Jr.ndo utaweza.maana utapondwa,utakatishwa tamaa na usipokua makini utaitwa tapeli.Inaumiza sana hasa kama umejitoa kumsaidia MTU usiemjua Kwa upendo tu wa Agape daaah nashindwa LA kusema zaidi ila naumia kiukweli
Ukifatilia wenzetu Kenya na Nigeria wengi wamepeana ujanja na kusaidiana kupitia forums zao tu kama tulivyokuwa au dhumuni ya thread hii na ndio maana mm nakataa sana kutumia neno Tanzania kwa sababu Ukisema Tanzania unakuwa na maana ya Tanganyika na Zanzibar lakini wenzetu wa visiwani wametupita sana kwenye ufahamu wazanzibari wengi sana wamesaidiana sana na ktk Watanzania walio nje wengi ni wazanzibari kuliko Watanganyika

Kila kitu kinaanza kama wazo ambalo anakuwa nalo mmoja then anawashirikisha wenzie then mnachangia mawazo kuboresha wazo ndivyo alivyofanya lusungo kuanzisha thread hii pili mawazo siku zote yanafatiwa na draft au michoro ndio tukaanza kuchangia kwa maandishi hapa then kinachofata ni utekelezaji wa muunganiko wa mawazo na machapisho na utekelezaji ni lazima watu watoke nyuma ya keyboard na keypad waonane live

Kuhusu kutapeliwa au kuibiwa ni mambo ambayo yanaweza kuchangiwa na kwenda chemba kitu ambacho wengi tulikuwa hatupendi mm nawambia ukweli Tanganyika na Serikali yake wameshindwa nguvu na rasilimali watu wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka kutoka shuleni, Vyuoni na kwenye mafunzo ya mikono au ufundi na hii si Tanganyika tu ilishawai kutokea Nigeria ndio maana wanaigeria wakatafuta njia nyingine ambayo ni kutoka nje kutafuta maisha na ndio maana nenda dunia nzima uwezi kukuta hakuna mnaigeria

Lakini Watanganyika bado tunaleta mzaha ndio maana tunapata muda wa kukashifu na kutukanana na kuvunjana moyo lakini huko tunapokwenda ni pabaya zaidi kuliko tulipotoka na safari ya gorigota imefika na Tanganyika tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza Duniani tunatoa wakimbizi wa ugumu wa maisha wakati ndani ya nchi kuna amani na utulivu

Ndo maana dada yangu pamoja na mimi tusiumie sana tunapotukanwa au kukashifiwa kwani siku na saa yaja pale wana wa Adam .....
 
Kuna wakuu Copenhagen na Tokyo 40 wanaweza kuja kusaidia hapa, kwa wale watakao kwenda Denmark na Japan kutafuta maisha.

Marekani na Uingereza kwa sasa ni vigumu mno labda kama wewe ni mtaalam yaani "expert".

Zipo nchi nyingine kama Australia na Canada ambako bado wanatafuta watu wenye utaalam khasa kwenye maeneo ya afya na teknolojia.

Ila tusidanganyane kuzamia Ulaya na kwenda kujilipua inategemea na nchi unayotokea, ukiwa mweusi tii wawezatumia Sudan kama "reference" lakini maji ya kunde basi ujue itakula kwako.

Nchi zingine kama Eritrea wao wana bahati kutokana na hitoria ya nchi yao kuwa na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kaka hiyo ni habari njema kwangu, mm ni mrefu na ni mweusi, niliwahi kukamatwa mara tatu nikiwa mkoa wa Iringa, na Mbeya migration walinishuku km si mtz. Pia wakat nipo A level Mbeya. Kuna kijana wa kitusi aliniambia kua siku za mwanzo wakat ananiona alijua mm ni ndugu yake. Yani mnyarwanda. Lakn akaja kugundua sio. Nina mpango wa kutoka tz kwenda canada au kwengine kwenye maslah. Nataka nitumie njia ya kusoma masters ya oil and gas law. Kuna chuo kipo london lakn gharama ni kubwa sana.
 
Kuna chuo kinaitwa Robert Gordon kipo katika mji wa Aberdeen nchini Scotland.

Unaweza kukiangalia kupitia link hii: MBA Oil and Gas Management Degree Course – Aberdeen Business School | Robert Gordon University (RGU) Aberdeen Scotland

Pia Canada wana shughulikia haya masuala kupitia link hii: 5 Mining, Oil & Gas Master's degrees in Canada - MastersPortal.eu

Na link hii itakupeleka kufahamu vyuo vingi tu nchini Canada kama vile Alberta, Calgary na chuo kikuu cha Toronto na vingine vingi.

Nchini Uingereza, chuo kikuu cha Coventry nao wanatoa MA katika eneo hilo angalia hapa: Oil and Gas Management - MSc at Coventry University on FindAMasters.com

Pia chuo kikuu cha Wolverhampton kupita hapa: MSc Oil and Gas Management | University of Wolverhampton

Hivyo basi fuatilia, tulia na soma na uangalie scholarships na ni lazima uwe na degree nzuri ya uhakika uloipata nchini Tanzania yaani kuanzia second kwenda upper second levels.

Good luck.
 
Kuna chuo kinaitwa Robert Gordon kipo katika mji wa Aberdeen nchini Scotland.

Unaweza kukiangalia kupitia link hii: MBA Oil and Gas Management Degree Course – Aberdeen Business School | Robert Gordon University (RGU) Aberdeen Scotland

Pia Canada wana shughulikia haya masuala kupitia link hii: 5 Mining, Oil & Gas Master's degrees in Canada - MastersPortal.eu

Na link hii itakupeleka kufahamu vyuo vingi tu nchini Canada kama vile Alberta, Calgary na chuo kikuu cha Toronto na vingine vingi.

Nchini Uingereza, chuo kikuu cha Coventry nao wanatoa MA katika eneo hilo angalia hapa: Oil and Gas Management - MSc at Coventry University on FindAMasters.com

Pia chuo kikuu cha Wolverhampton kupita hapa: MSc Oil and Gas Management | University of Wolverhampton

Hivyo basi fuatilia tulia na soma na uangalie scholarships na ni lazima uwe na degree nzuri ya uhakika uloipata nchini Tanzania yaani kuanzia second kwenda upper second levels.

Good luck.
Mkuu shukrani sana sana. Ubarikiwe sana
 
Ukifatilia wenzetu Kenya na Nigeria wengi wamepeana ujanja na kusaidiana kupitia forums zao tu kama tulivyokuwa au dhumuni ya thread hii na ndio maana mm nakataa sana kutumia neno Tanzania kwa sababu Ukisema Tanzania unakuwa na maana ya Tanganyika na Zanzibar lakini wenzetu wa visiwani wametupita sana kwenye ufahamu wazanzibari wengi sana wamesaidiana sana na ktk Watanzania walio nje wengi ni wazanzibari kuliko Watanganyika

Kila kitu kinaanza kama wazo ambalo anakuwa nalo mmoja then anawashirikisha wenzie then mnachangia mawazo kuboresha wazo ndivyo alivyofanya lusungo kuanzisha thread hii pili mawazo siku zote yanafatiwa na draft au michoro ndio tukaanza kuchangia kwa maandishi hapa then kinachofata ni utekelezaji wa muunganiko wa mawazo na machapisho na utekelezaji ni lazima watu watoke nyuma ya keyboard na keypad waonane live

Kuhusu kutapeliwa au kuibiwa ni mambo ambayo yanaweza kuchangiwa na kwenda chemba kitu ambacho wengi tulikuwa hatupendi mm nawambia ukweli Tanganyika na Serikali yake wameshindwa nguvu na rasilimali watu wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka kutoka shuleni, Vyuoni na kwenye mafunzo ya mikono au ufundi na hii si Tanganyika tu ilishawai kutokea Nigeria ndio maana wanaigeria wakatafuta njia nyingine ambayo ni kutoka nje kutafuta maisha na ndio maana nenda dunia nzima uwezi kukuta hakuna mnaigeria

Lakini Watanganyika bado analeta mzaha ndio maana tunapata muda wa kukashifu na kutukanana na kuvunjana moyo lakini huko tunapokwenda ni pabaya zaidi kuliko tulipotoka tunaweza kujikuta tunatoa wakimbizi wa ugumu wa maisha wakati ndani ya nchi kuna amani na utulivu

Ndo maana dada yangu pamoja na mimi tusiumie sana tunapotukanwa au kukashifiwa kwani siku na saa yaja pale wana wa Adam .....
Mkuu izzo nimefurahi sana kwa hii courage yako... awali ulivunjika moyo nafurahi umepata nguvu tena... kama nilivyoshauri awali hawa watu wapuuzwe na kweli baada ya kupuuzwa wamepotea....

Pia nimefurahi sana coz kuna baadhi ya watu wameanza kufanyia kazi mawazo yetu wengine wameshaanza michakato ya visa applications.... wapo tunaowapa msaada wa mawazo na mwangaza kwa kuwapigia simu na hatujawaomba hata senti tano...

Barikiwa sana mkuu.
 
kila nikitaka kutoa namba yangu roho inasita yani humu ndani unahitajika uqe na roho ngumu sampuli ya Mshana Jr.ndo utaweza.maana utapondwa,utakatishwa tamaa na usipokua makini utaitwa tapeli.Inaumiza sana hasa kama umejitoa kumsaidia MTU usiemjua Kwa upendo tu wa Agape daaah nashindwa LA kusema zaidi ila naumia kiukweli

Usijali mpendwa binadamu ndivyo walivyo wewe tusaidie tu Mungu ndie atakaye kulipia
 
Mkuu izzo nimefurahi sana kwa hii courage yako... awali ulivunjika moyo nafurahi umepata nguvu tena... kama nilivyoshauri awali hawa watu wapuuzwe na kweli baada ya kupuuzwa wamepotea....

Pia nimefurahi sana coz kuna baadhi ya watu wameanza kufanyia kazi mawazo yetu wengine wameshaanza michakato ya visa applications.... wapo tunaowapa msaada wa mawazo na mwangaza kwa kuwapigia simu na hatujawaomba hata senti tano...

Barikiwa sana mkuu.
Kila jambo nachangamoto zake,
Kwa wale weny iman za kikristo,
Kumbuken Yesu alikuja kuwafia wadhambi,lkn haohao wakamuua,sembuse haya yanayoweza kuitwa ya kawaida,

Changamoto hizo zinatoka kwa weny roho mbaya wakiona unatoa msaada wanaona wivu,

Hujaoa mtu anaumia ukinunua pikipiki au gari ya kutembelea na huku hujamuomba hata senti ya mchango na wala haupaki kwake?

Mi nipe namba yako hao nao achana nao mkuu,vyura havikosi mitoni!!!!!

Barikiwa
 
Back
Top Bottom