Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 745
Jamaa walikuwa wakali kweli, waliondoa ndani ua siku 2 tu kisa sijatuma picha yangu.Kwa mtindo ule sidhani kama bado lipo.Vip lile group la wahtsapp bado lipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa walikuwa wakali kweli, waliondoa ndani ua siku 2 tu kisa sijatuma picha yangu.Kwa mtindo ule sidhani kama bado lipo.Vip lile group la wahtsapp bado lipo
Hebu nipe link au nipe namba ya adminiJamaa walikuwa wakali kweli, waliondoa ndani ua siku 2 tu kisa sijatuma picha yangu.Kwa mtindo ule sidhani kama bado lipo.
Wambie waniadd 0672565139Hebu nipe link au nipe namba ya admini
Ahsante nandoinavyo takiwaSijawa mchoyo ila huwezi nilazimisha kufanya nisivyotaka.
Ninawasiliana na watu weng humu mfano Dukeson mtafute umuulize kama nina roho Mbaya. Kama unashida njoo inbox tuongee , tuelekezane mambo muhimu.
Humu tunahide majina na mahali tulipo.
Mimi sitaki kujulikana.ahsante
Bongo mufilisi
Bongo jehanamu
Bongo hapafai
Bongo njaa tu na udikteta uchwara.
Niaje bro? Hili suala limefikia wapi?
Mkuu nakupmHizi issue za scholarships itabid tusaidiane sana
Rwanda hawaongei English but nowadays vijana wao wanatoka sana kusoma nje
Sisi watz tujitahid sana kuomba nafasi Mbali mbali
By tukifunga chuo early January 2018 nitafungua group la WhatsApp Kutoa maelekezo juu ya kuomba scholarship hasa Kwa hizi ninazofaidika nazo.
Itakuwa ni bure Maana sehemu Kubwa unafanya wew, Kwa sasa pana marafiki zang humu tunaelekezana Kimya kimya Ila mambo yanaenda vizuri.
Ni ajabu kusoma Kwa hela yako masters au PhD wakati unaweza kusoma bure kabisa na kupewa hela ya kuishi bila kudaiwa baadaye.
Naomba nipatie number ya huyu mtu tafadhaliUkiwa tayari niambie.... Nitakupa namba ya kijana atamaliza yote ndani ya siku 2. Hiyo gharama haitofika.
Mkuu umefikia wapi kuhusu safari?nina mpango wa kutengeneza safari lkn nimeambiwa kuna visa ya itary na france na mi tagert yangu ni kuingia ugermany au uk
Sijaona hata mmoja aliyeleta ushuhuda juu ya safari yoyote. Kama yupo ajitokeze ili atie hamasa wengineMkuu umefikia wapi kuhusu safari?
Hizo namba za tz zote zilizowekwa ni feki, watu wanaopokea wengine wapo mbeya wengine wanasambaza mitungi ya ges, namba nyingine zimefungiwa. Hamna kitu hapoHii kampuni ni ya uhakika kabisa, nishawahi ifatilia ila sikuweka mkazo! Jumatatu nitaenda kwenye ofisi zao. Wachek na facebook pia kwenye page yao kwa jina hilohilo
Hizo namba za tz zote zilizowekwa ni feki, watu wanaopokea wengine wapo mbeya wengine wanasambaza mitungi ya ges, namba nyingine zimefungiwa. Hamna kitu hapo
Mkuu umefanikiwa na ww?Mkuu, nipo hapa naomba mwongozo wa Masters..