Ushauri mapenzi yananitesa

festo lupembe

Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
32
Reaction score
30
huwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda disco ndani ya nyumba maelewano hakuna wezangu wanatumia njia gani ya kupata mwanamke alietulia na anaejua maisha naumia sana sijui nisihangaike na wanawake nitulie tuu
 
Mkuu tuliza akili afu jitathimini upya na njia utumiazo kuingia kwenye mahusiano
 
Utakua unachukua watoto wa 18-27 ndio wasumbufu,hawajielewi.
 
Nilikuwa napenda kutalii sana hasa maeneo ya vyuo,kwenda kwenye matamasha,hija,maporomoko ya maji,n.k na nilikuwa nikimpenda mtu namwambia ukweli,kuwa natafuta mke sitafuti mchumba....baada ya hapo kila mmoja anajifunza kwa mwenzake katka hali ya win/win,sasa hivi niko naye mwaka wa kumi na watoto juu na ukituona utafikiri ndio tumekutana jana
 
Daah mkuu ngoja nami nijalibu kufanya hivyo labda nitafanikiwa
 
Tafuta mwanamke ambae anaweza kufanya kitu kikaonekana au anaeweza kukushauri kuhusu maisha, achana na mwanamke ambae hawazi kuhusu kesho, pia tafuta mwanamke aliepitia maisha yaani umri wako na wake usipishane sana Hapo mnaweza mkakaa ndani mkapanga kitu na mkaelewana, kingine usiende bar au kuokota mwanamke barabarani kisa kavaa sketi ukasema ni mwanamke chunguza chimbuko lake na ulizia majirani na marafiki nyendo za mwanamke Huyo Hapo utapata information zake kama anamwelekeo
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo
 
Daah mkuu ngoja nami nijalibu kufanya hivyo labda nitafanikiwa
Mi ilikuwa siku za mapumziko jumamosi na jumapili,naandaa bajeti yangu kwamba siku ya leo nitaenda kutembelea sehemu fulani.....ingawa nilikuwa pia naenda club lakini kule ilikuwa ni kwa ajili ya kuondoa stress tu
 
Mi ilikuwa siku za mapumziko jumamosi na jumapili,naandaa bajeti yangu kwamba siku ya leo nitaenda kutembelea sehemu fulani.....ingawa nilikuwa pia naenda club lakini kule ilikuwa ni kwa ajili ya kuondoa stress tu
Hata mimi Nafanyaga hiyo mkuu ila kiukweli sasa hivi nawaogapa mabinti
 
Hata mimi Nafanyaga hiyo mkuu ila kiukweli sasa hivi nawaogapa mabinti
Mke ndio baba/mama/dada/kaka/mlezi wako/maendeleo yako n.k kama utampata aliye sahihi.Cha kufanya ukimuona anayekufaa muombe appointment/kama ni muelewa atakubali,na mkikutana mazungumzo yako yawe kwenye kutafuta mke na si mpenzi wala mchumba.kama ni chaguo lako atakupa majibu mazuri pamoja na mitazamo ya huko mbeleni.lakini kama sio chaguo lako piga chini atakusumbua.
 
Ikiwa hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika.... trust me, hauwezi ukapata mwanamke smart mwenye atafanana na tambo zako...
Pole chief
 
Pole mkuu ,ila kitu kadri unavyoonesha kama haukihitaj ndo kinazidi kuja ktk maisha yako
 
Naufanyia kazi ushauri mkuu
 
Ikiwa hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika.... trust me, hauwezi ukapata mwanamke smart mwenye atafanana na tambo zako...
Pole chief
Huna jipya mkuu mimi na wew hatuchekani wote tumeishia memkwa
 
Ki Kila mwanamke unaempata anapenda disco? Sasa kama wewe haujatulia kucha kuchwa unabadilisha wanawake unatakaje sasa wao watulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…