Ushauri: Masau Bwire awe msemaji wa timu ya Simba

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
677
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
 
Kama atakua tayari kila saa kusema MO,MO,MO sijui nn,MO MO.Yani kila muda asifie hyo baniani Bila shaka atafaa otherwise Hawafai makanjubari
Kwann unasema hiviii
 
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
Haiwezekani. Hatakiwi mtu wa mipasho anayefocus na yanga tu...
 
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
Msemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?
 
Wasemaje wabaki watu wenye weredi bt masau bwire aje kama muhamasishaji itakuwa vyema.
 
Hawa wasemaji wa simba na yanga kazi yao inakua rahisi sana ikiwa tu timu inafanya vizuri viwanjan bila ivyo hao wasemaji hawana uzuri wowote watu tunajisahau uyu haji manara wa sasa alikua si lolote kwa muro kipindi iko yanga ipo ktk ubora wake ata uko alikoenda haji watakaozid kumpa jina na maneno wachezaji na ata hao simba hawana sababu ya kuangaika na msemaji zaid kwanza wajiimalishe kiwanjani kama timu itakua inafanya vibaya ata kama wawe na haji manara mia haisadii ktu
 
Msemajinwa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiinga Yanga wewe mchezaji?
Hekima hizi tulizisubiri muda sana toka kwenu mbumbumbu, hatimaye zimekuja baada tu ya Manara kulamba M 9.8 Jangwani[emoji28]
 
Nampendekeza Salama Jabili.
Baadhi ya wanaume wana Njaa sana. Na inawapelekea kuwa wasaliti
Mess naye ni Msaliti kwa kuiacha Barcelona FC iliyomlea tangu utotoni, ikampatia mafanikio hadi uzeeni kisha atimkie PSG [emoji848]

MONEY TALKS....[emoji16]
 
Watuletee monalisa Yule msemaji wa timu ya wanawake anafaa sana kule kwa wanawake yuko underutilized.
 
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
Masau bwire ni mjeda bro, kumuachisha jeshi ni gharama unakumbuka kwa mwinyi kazimoto Simba alikamuliwa kwelkweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…