Ushauri: Masau Bwire awe msemaji wa timu ya Simba

Ushauri: Masau Bwire awe msemaji wa timu ya Simba

I'm messi fun messi kubaki Barcelona alikuw kakubali Sheria zikawa kikwazo
Mtu alikuw tayar kupunguza mshahara wake
Issues ya messi na manara it's not the same
Swala ni alipofikia Messi kimafanikio, hata kama angekuwa halipwi mshahara angefeli wapi?

Kama hakuna basi PESA INAZUNGUMZA.
 
Swala ni alipofikia Messi kimafanikio, hata kama angekuwa halipwi mshahara angefeli wapi?

Kama hakuna basi PESA INAZUNGUMZA.
Rais wa laliga alisem mess ata angecheza bila kulipwa mshahara still Barcelona ilikuwa ishabanwa na Sheria
Thus y unaona hata pique kapunguza mshara same to some of Barcelona players
 
Rais wa laliga alisem mess ata angecheza bila kulipwa mshahara still Barcelona ilikuwa ishabanwa na Sheria
Thus y unaona hata pique kapunguza mshara same to some of Barcelona players
Amini unachoamini nami niamini ninachoamini, usiku mwema Chifu.
 
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
Senzo alipoingia Simba
Alitaka clab iende kitaalam zaidi
Nafasi mbalimbali za clab zilitangazwa upya
Ndio pale wasiokuwa vyeti mfumo ukaanza kuwatema akiwemo Manara.
Senzo anataka Lugha ipande baba[emoji13]

Macha alishaipata hyo nafasi kitambo.
Kijana kaenda shule ana uelewa
Lakin kwa kuwa tunapenda maneno ya shombo sitashangaa akipewa Bwire.

Sijui unakumbuka vzuri?
Senzo alibana miale yote ya upigaji pale simba
Hadi wale Makomandoo walianza kumchukia.

Ndio maana Senzo aliamua kung'atuka pale hakupenda uswahili wa viongozi wetu.

Japo tulifichwa fichwa ila ukweli ni kwa Senzo ni habari nyingine.

Pale yanga bado hajapewa Lungu kamili.

Aliitoa Simba kutoka sehem moja kwenda sehem nyingine.
 
Masau bwire ni mjeda bro, kumuachisha jeshi ni gharama unakumbuka kwa mwinyi kazimoto Simba alikamuliwa kwelkweli
Siyo mjeda, ni mwalimu wa Hisabati/Hesabu Makumbusho Shule ya Msingi.
 
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.

Karibuni kwa Maoni
Nashauri simba wamsahiki mtalebani awe msemaji wa simba nduo atamshinda haji

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mess naye ni Msaliti kwa kuiacha Barcelona FC iliyomlea tangu utotoni, ikampatia mafanikio hadi uzeeni kisha atimkie PSG [emoji848]

MONEY TALKS....[emoji16]
Unaweza ukahama dini lakini huwezi kuhama kabila.

Messi sio shabiki wa Barcelona bali alikuwa mchezaji wa Barcelona.

Mchezaji analipwa,,,shabiki halipwi.

Manara kinachomsumbuwa ni njaa na kutaka umaarufu..
 
Mess naye ni Msaliti kwa kuiacha Barcelona FC iliyomlea tangu utotoni, ikampatia mafanikio hadi uzeeni kisha atimkie PSG [emoji848]

MONEY TALKS....[emoji16]
Messi alipokuwa Barcelona alifanya kazi barcelona na hakuwa na mkataba wowote na PSG.
Manara akiwa muajiriwa wa Simba, wakati huohuo alikuwa katika payrol ya GSM ambaye ndiye mdhamini wa Yanga.
Hapo huoni kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili.
Angemaliza mkataba wake Simba na kwenda Yanga haingetia shaka yoyote.
Unawezaje kufanya kazi Simba na Yanga kwa wakati mmoja timu ambazo ni pinzani ?
 
Mikia mnahangaika bure wakati Mo Dewji ndio anaamua nani awe msemaji, anaweza kumchukua hata kingwendu au Pembe

Kwani mtafanyaje

Timu ipo chini ya Mtu mmoja
 
Msemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?
Timu za waswahili haziwezi kuacha uswahili.
Wenyewe wanajua maana na faida ya kupiga domo kwenye timu zao.
Zimesimama hapo miaka na miaka kwa sababu ya domo tu.
Vinginevyo ziko wapi timu kama Pamba ya Mwanza, Ushirika ya Moshi, Tukuyu star, Mseto ya Morogoro nk. Ambazo zilitamba sana miaka ya nyuma kwa soka la uwanjani?

Kupepeta mdomo ndiyo mila inayodumu kwenye timu hizo za waswahili.
Mdomo ndiyo ndiyo UHAI wa utani wa jadi wa Simba na Yanga.
 
Senzo alipoingia Simba
Alitaka clab iende kitaalam zaidi
Nafasi mbalimbali za clab zilitangazwa upya
Ndio pale wasiokuwa vyeti mfumo ukaanza kuwatema akiwemo Manara.
Senzo anataka Lugha ipande baba[emoji13]

Macha alishaipata hyo nafasi kitambo.
Kijana kaenda shule ana uelewa
Lakin kwa kuwa tunapenda maneno ya shombo sitashangaa akipewa Bwire.

Sijui unakumbuka vzuri?
Senzo alibana miale yote ya upigaji pale simba
Hadi wale Makomandoo walianza kumchukia.

Ndio maana Senzo aliamua kung'atuka pale hakupenda uswahili wa viongozi wetu.

Japo tulifichwa fichwa ila ukweli ni kwa Senzo ni habari nyingine.

Pale yanga bado hajapewa Lungu kamili.

Aliitoa Simba kutoka sehem moja kwenda sehem nyingine.
Mbona yeye Senzo ndiye aliyempokea Haji Manara huko Yanga?
Nafasi kama ya Senzo au makocha angalieni vyeti na taaluma, lakini kwenye eneo la uhamasishaji kama hiyo anatakiwa mtu mwenye kipaji.
 
Msemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?
Hii ndio Tz yangu mkuu. Fikiria mtu anaamini kuondoka kwa Manara simba itayumba. Hii imeniaminisha kuwa wengi wetu huwa tunatoa maoni kwenye mambo tusioyajua. Manara sio CEO,sio member wa bodi wala mchezaji. Halafu timu iyumbe. Isiyumbe kuondoka kwa Chama ama Luis waliokuwa wanagalagala uwanjani. Iyumbe kuondoka kwa Manara. Aisee
 
Mjmi nadhani Ndugu Livingstone Lusinde (kibajaj) anafaa kua msemaji wa simba.
 
Back
Top Bottom