and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Manara aliwahi kuwa hata kiongozi shuleni (ikiwa aliingia hata Darasani) Sina uhakika hata kama anajua kusoma & kuandika. Vipi lugha za kimataifa? Kiingereza, kifaransa au Kichina?Hii ndio Tz yangu mkuu. Fikiria mtu anaamini kuondoka kwa Manara simba itayumba. Hii imeniaminisha kuwa wengi wetu huwa tunatoa maoni kwenye mambo tusioyajua. Manara sio CEO,sio member wa bodi wala mchezaji. Halafu timu iyumbe. Isiyumbe kuondoka kwa Chama ama Luis waliokuwa wanagalagala uwanjani. Iyumbe kuondoka kwa Manara. Aisee
** Ukiona mtu anabwabwaja sanakuna kitu Anaficha