mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
I'm messi fun messi kubaki Barcelona alikuw kakubali Sheria zikawa kikwazoMess # Messi [emoji736]
Mtu alikuw tayar kupunguza mshahara wake
Issues ya messi na manara it's not the same
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm messi fun messi kubaki Barcelona alikuw kakubali Sheria zikawa kikwazoMess # Messi [emoji736]
Swala ni alipofikia Messi kimafanikio, hata kama angekuwa halipwi mshahara angefeli wapi?I'm messi fun messi kubaki Barcelona alikuw kakubali Sheria zikawa kikwazo
Mtu alikuw tayar kupunguza mshahara wake
Issues ya messi na manara it's not the same
Rais wa laliga alisem mess ata angecheza bila kulipwa mshahara still Barcelona ilikuwa ishabanwa na SheriaSwala ni alipofikia Messi kimafanikio, hata kama angekuwa halipwi mshahara angefeli wapi?
Kama hakuna basi PESA INAZUNGUMZA.
Amini unachoamini nami niamini ninachoamini, usiku mwema Chifu.Rais wa laliga alisem mess ata angecheza bila kulipwa mshahara still Barcelona ilikuwa ishabanwa na Sheria
Thus y unaona hata pique kapunguza mshara same to some of Barcelona players
Senzo alipoingia SimbaKuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.
Karibuni kwa Maoni
Kuna jamaa shabiki wa Simba anajiita Pasi Milioni naona anafaa. Hii kazi haihitaji mtu mwenye taaluma kuifanya, inahitaji mjanja mdomoni.kuna jamaa wanamwita sijui @mwijaku nae pia anapigiwa chapuo
Siyo mjeda, ni mwalimu wa Hisabati/Hesabu Makumbusho Shule ya Msingi.Masau bwire ni mjeda bro, kumuachisha jeshi ni gharama unakumbuka kwa mwinyi kazimoto Simba alikamuliwa kwelkweli
Nashauri simba wamsahiki mtalebani awe msemaji wa simba nduo atamshinda hajiKuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza pale Msimbazi.
Karibuni kwa Maoni
Ni Wivu TuuNampendekeza Salama Jabili.
Baadhi ya wanaume wana Njaa sana. Na inawapelekea kuwa wasaliti
Unaweza ukahama dini lakini huwezi kuhama kabila.Mess naye ni Msaliti kwa kuiacha Barcelona FC iliyomlea tangu utotoni, ikampatia mafanikio hadi uzeeni kisha atimkie PSG [emoji848]
MONEY TALKS....[emoji16]
Messi alipokuwa Barcelona alifanya kazi barcelona na hakuwa na mkataba wowote na PSG.Mess naye ni Msaliti kwa kuiacha Barcelona FC iliyomlea tangu utotoni, ikampatia mafanikio hadi uzeeni kisha atimkie PSG [emoji848]
MONEY TALKS....[emoji16]
Timu za waswahili haziwezi kuacha uswahili.Msemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?
Mbona yeye Senzo ndiye aliyempokea Haji Manara huko Yanga?Senzo alipoingia Simba
Alitaka clab iende kitaalam zaidi
Nafasi mbalimbali za clab zilitangazwa upya
Ndio pale wasiokuwa vyeti mfumo ukaanza kuwatema akiwemo Manara.
Senzo anataka Lugha ipande baba[emoji13]
Macha alishaipata hyo nafasi kitambo.
Kijana kaenda shule ana uelewa
Lakin kwa kuwa tunapenda maneno ya shombo sitashangaa akipewa Bwire.
Sijui unakumbuka vzuri?
Senzo alibana miale yote ya upigaji pale simba
Hadi wale Makomandoo walianza kumchukia.
Ndio maana Senzo aliamua kung'atuka pale hakupenda uswahili wa viongozi wetu.
Japo tulifichwa fichwa ila ukweli ni kwa Senzo ni habari nyingine.
Pale yanga bado hajapewa Lungu kamili.
Aliitoa Simba kutoka sehem moja kwenda sehem nyingine.
sureKuna jamaa shabiki wa Simba anajiita Pasi Milioni naona anafaa. Hii kazi haihitaji mtu mwenye taaluma kuifanya, inahitaji mjanja mdomoni.
sureHatutaki wasemaji wa dizaini hii ya kiswahili Swahili.
Simba ni level zingine hatutaki maneno tunataka vitendo.
😂😂😂Utakuwa ni ushuzi kweli
Hii ndio Tz yangu mkuu. Fikiria mtu anaamini kuondoka kwa Manara simba itayumba. Hii imeniaminisha kuwa wengi wetu huwa tunatoa maoni kwenye mambo tusioyajua. Manara sio CEO,sio member wa bodi wala mchezaji. Halafu timu iyumbe. Isiyumbe kuondoka kwa Chama ama Luis waliokuwa wanagalagala uwanjani. Iyumbe kuondoka kwa Manara. AiseeMsemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?