Ushauri: Masau Bwire awe msemaji wa timu ya Simba

Manara aliwahi kuwa hata kiongozi shuleni (ikiwa aliingia hata Darasani) Sina uhakika hata kama anajua kusoma & kuandika. Vipi lugha za kimataifa? Kiingereza, kifaransa au Kichina?
** Ukiona mtu anabwabwaja sanakuna kitu Anaficha
 
Hatutaki wasemaji wapumbavu ka Manara aisee, mwisho watajiona wakubwa kuliko team. Mambo ya mipasho waachiwe waswahili
 
Kikubwa team kufanya vizuri ni hamasa tosha kuliko huu upuuzi wa wasemaji
 
Sijawahi kuona umuhimu wa kuwa na msemaji mwenye makelele........Mikia mnapaqnic bila sababu tulieni ukiwa na timu nzuri inajitangaza tu yenyewe
 
Hatutaki wasemaji wa dizaini hii ya kiswahili Swahili.
Simba ni level zingine hatutaki maneno tunataka vitendo.
Hv jamaa alikua na Ofisi au computer ya kuandika KPI zake? Au ndo ilee!
 
Rais wa laliga alisem mess ata angecheza bila kulipwa mshahara still Barcelona ilikuwa ishabanwa na Sheria
Thus y unaona hata pique kapunguza mshara same to some of Barcelona players
Ila wewe jamaa muongo sasa kutolipwa mshahara messi na kuondoka ina tofauti ganii?
 
Msemaji wa PSG Ni Nani? Yaani TZ tunaendekeza uswahili kuliko taaluma. Eti nimejiunga Yanga wewe mchezaji?

Mkuu kuelimika Ni kujua kutumia mazingira yako. Hizi internet zisikufanye uhamishe Ufaransa ije Tz.

Fuatilia page za mambo ya ajabu then ufananishe na page za wasomi au watu wanaoinspire jamii. Then Rudi uone Nani wanafollowers wengi. Tz umbea na connection ndo mlo wetu na watu wengi wametqjirika hivyo. Watu watalalamika Tozo hawana hela, ikitoka hapa pilau ya labda diamond na gigy, hao wasio na hela watanunua hata kwa elfu 10. This is Tanzania.
 
Wakuu punguzeni makasiriko hata kama mmepigwa na vitu vizito kichwani,
Mnataka Manara aendelee kuwa Jobless acheni roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…