Ushauri: Mashemeji ni hatari siku hizi

Ushauri: Mashemeji ni hatari siku hizi

Wenyewe wanasema, "vizuri kula na nduguyo".... Msemo huu aliniambiaga demu wangu,.. Kisha ikawa kama alivyosema,. Nikamtafuna!
 
Sitokaa nifanye huo uchafu hata Siku moja, na mwanamke anae amua kutembea na Shemeji yke huyo hajitambui!!!
 
Mashem hawana uchoyo ni sound zko tu,dawa ni kumsifia mwanzo mwisho kua kamzidi dada yke uzuri lazma aamshe dude
 
mashemeji ni tatizo miaka mingi tu toka Enzi za mababu zote
 
Ebu tupe ushuhuda kwa mala ya mwisho wewe ulitegwa vp na uliwezaje kuipuka na ikiwa uliungia pia waweza tu kutujuza. Tafashari
Hahaha nilitegwa na mdogo mtu lakini nashukuru niliukimbia mtego nikaja kurudi baadaeee, mpaka leo yule mdogo mtu hana hamu na mimi
 
Nami nimetegwa sana na Shem wangu. Yupo mukide kinoma. Alianza kunifulia akidai anamsaidia Dada ake. Mara kula ananisubiri Shem wake, Dada ake anaona kawaida. Mara text kibao ohooo umekula mume wangu kipenzi?? Sijuh ilikuwaje nilianza kumtafuna sana tu
 
Ushauri,

Wadada mlioolewa, wenye ndugu wa kike halafu wanaishi haya maisha ya kimjini mjini kujidai wanazo na masupastaa.

Epuka kuishi nao nyumba moja, ni hatari kwa ndoa yako, hutamani yale unayopewa na mumeo basi nae apate mfano outing, mausafiri haya, mavazi, the way mnavyoishi na n.k.

Mbaya zaidi hawatongozwi wala kutongoza bali hutumia maungo yao na mbinu za kikungwi wanazopeana wazi wazi kwenye magrupu ya watsapp, mumeo akichomoka hiyo mitego kapike sadaka.

Ni experience ya moja kwa moja, mbaya zaidi kuna jamaa zangu mmoja wapo akathimulia anavyomtafuna shem wake. Nikipimia mitego nayopata na story za jamaa naona kama siku hizi imekuwa fasheni mabinti kutembea na mashem zao.

Kuweni makini sana.

Karibuni
Hahaha
 
Back
Top Bottom