Kwa mtaji huo 2M iwe nje ya kodi ya frem/kibanda na lain na makorokoro mengne tosha sana kuanzia kikubwa location tu iwe imechangamgamka
Vingnevyo kwa biashara ya uwakala hyo capital ya 2M si ajabu akapata kamishen ya chin ya laki 2 kwa lain zote location ikiwa mbovu.niaminin mm!
Lkn kwa upande mwnigne naweza nisztaje ila kuna biashara nying ndgo ndgo za mtaji wa chin ya 500,0000 na ukapata .zaid ya 20k kwa siku…
tatizo vijana ikiwemo mm tunapenda biashara smart,za hadhi/elimu zetu,zisizo cha kuchafuka,biashara ya kusifiwa n kaz nzur ila ukwel n kuwa wapo wauza matunda njian,wachoma mishkaki,wachoma maind wanakunja zaid ya 20k dairly ilihali tulio kwenye frem tunastruggle kizchiz
Hizi biashara za kwnye mafrem tunajitahd tu lkn running cost n nying na bado TRA na municpal hawajapta kukagua leseni