Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua wewe uko katika kundi la Mama hivyo ni lazima upinge.
Sisi wengine tunaunga mkono msimamo na vitendo/matendo ya mtu na si mtu kama mtu. Ukibadilaka, tunakupotezea.
Hakika 😍Ni kumbukumbu fupi ama? Hebu Google "Mzee wa Upako Chadema/Mbowe" ushuhudie huyo "mchungaji kinyonga" alivyoshirikiana kikamilifu kuwakandamiza enzi za Mwendazake.
Tatizo lenu ni kwamba hata Bashite akiamua kuzuga kesho na kuongea mnachopenda kusikia, mtamuita mkombozi. Lakini unfortunately, akitokea mtu kama yule mwandishi Khalifa Said kupishana japo kidogo na mtazamo wenu (licha ya yeye kufanya kazi kubwa ya kuitangazia dunia kuhusu ukandamizwaji waliofanyiwa Chadema) anamwagiwa matusi.
Demokrasia ya matusi?
Umethibitisha maneno yake kuwa mna hulka ya KUWAMWAGIA WATU MATUSI ya "argumentum ad hominem" kama mnavyomfanyia Khalifa Said 🤣🤣We ni kama malaya wengine tu wa kisiasa.
Unataka mtu akitutetea tumtukane au tumpinge, leo hata Polepole na Samia wakituunga mkono tutashukuru na kuwaunga mkono.
Wewe ni CCM mjinga mjinga usijifanye kutufundisha sisi wa kumsifia au kumponda.
Tatizo mnadhani wanafanya ili kuwafurahisha ninyi (sidhani kama ndio lengo lao) , its all about inner willing,mbona wewe hujitokezi hadharani kusema hilo ilihali ni haki yako unapata ugumu wapi?Catholic wako kimya sijui kwanini au wao walikuwa wanashindana na mwendazake.
Hata Shoo hatoi uzito unao stahili kama kwa mwendazake.
Bado sana tu kukaa gerezani kunamhusu.Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili ya kwanza baada tu ya wewe kutoka jela(kama watakufunga na kukupa msamaha wa Raisi) au kama watakufutia kesi, uitumie siku hiyo kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako.
Mbali na kushiriki Ibada, ikiwezekana wakupe nafasi siku hiyo usimame madhabahuni na utoe neno kwa waumini na kwa watanzania wote kwa ujumla.
Wewe kama seasoned politician, sihitaji kukushauri nini cha kusema siku hiyo, bali nakuachia mwenyewe na zaidi nakuombea uzima na afya njema.
Mbowe sio gaidi.
Ni kumbukumbu fupi ama? Hebu Google "Mzee wa Upako Chadema/Mbowe" ushuhudie huyo "mchungaji kinyonga" alivyoshirikiana kikamilifu kuwakandamiza enzi za Mwendazake.
Tatizo lenu ni kwamba hata Bashite akiamua kuzuga kesho na kuongea mnachopenda kusikia, mtamuita mkombozi. Lakini unfortunately, akitokea mtu kama yule mwandishi Khalifa Said kupishana japo kidogo na mtazamo wenu (licha ya yeye kufanya kazi kubwa ya kuitangazia dunia kuhusu ukandamizwaji waliofanyiwa Chadema) anamwagiwa matusi.
Demokrasia ya matusi?
kipindi cha magufuli nilicomment na sasa na comment hakuna tofauti.Tatizo mnadhani wanafanya ili kuwafurahisha ninyi (sidhani kama ndio lengo lao) , its all about inner willing,mbona wewe hujitokezi hadharani kusema hilo ilihali ni haki yako unapata ugumu wapi?
Kabla hujaonyooshea wenzako kidole hakikisha na wewe huna upungufu unaonyooshea kidole
Ndio mimi ni mkatoliki tena mkatoliki hasa, hoja si ukatoliki hapa wala udhebu wa imani fulani, hoja ni kwamba wewe ni Mtanzania (kama sijakosea) toka mitandaoni humu na uende ukafanya kama unavyotaka hao wakatoliki na wengine wafanye kwasabu na wewe (kama ni Mtanzania) unayo haki ya kufanya hivyo kwasababu sio kila mtu anawaza kama unavyowaza wewe kwenye akili yako (note hiyo).kipindi cha magufuli nilicomment na sasa na comment hakuna tofauti.
Kaa kimya kama hujaelewa bila shaka wewe ni mkatoliki ndio maana...
Na hoji tu kama kwa Magufuli walitumia nguvu kubwa hivo saivi wamelala
au maombi yao ya kuondolewa kodi kwenye taasisi zao yameondolewa?
Kwa nini wawe kimya kwa sasa..?
Hawezi kwa sababu hata kosa lililompeleka halijui mpaka sasa, unajua mtu akikuumiza makusudi bila kosa lolote mwili huwa unakufa ganzi na kuwa tayali kwa lolote,unaweza ukachomwa kisu na ukashikilia msimamo to the maximumSijui kama atakubali msamaha wa mashariti huyo Kamanda.
Uko biased na u-catholic huo ubatizo, kommunio na kipamaira tumepewa pia....Ndio mimi ni mkatoliki tena mkatoliki hasa, hoja si ukatoliki hapa wala udhebu wa imani fulani, hoja ni kwamba wewe ni Mtanzania (kama sijakosea) toka mitandaoni humu na uende ukafanya kama unavyotaka hao wakatoliki na wengine wafanye kwasabu na wewe (kama ni Mtanzania) unayo haki ya kufanya hivyo kwasababu sio kila mtu anawaza kama unavyowaza wewe kwenye akili yako (note hiyo).
Badala ya kushutumu watu kwa chuki zako nenda wewe ukafanye kama mawazo yako yanavyo kutuma sio unaandika andika pumba tuu humu
Watu tumezaliwa kwenye ucatholic tunaujua vizuri sio ishu ya chuki usipanic.Ndio mimi ni mkatoliki tena mkatoliki hasa, hoja si ukatoliki hapa wala udhebu wa imani fulani, hoja ni kwamba wewe ni Mtanzania (kama sijakosea) toka mitandaoni humu na uende ukafanya kama unavyotaka hao wakatoliki na wengine wafanye kwasabu na wewe (kama ni Mtanzania) unayo haki ya kufanya hivyo kwasababu sio kila mtu anawaza kama unavyowaza wewe kwenye akili yako (note hiyo).
Badala ya kushutumu watu kwa chuki zako nenda wewe ukafanye kama mawazo yako yanavyo kutuma sio kunyooshea watu kidole
Hivi ni nani anawadanganya na kueneza hii Propaganda kuwa Mbowe ataachiwa / anaachiwa hivi karibuni?Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo.
Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili ya kwanza baada tu ya wewe kutoka jela(kama watakufunga na kukupa msamaha wa Raisi) au kama watakufutia kesi, uitumie siku hiyo kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako.
Mbali na kushiriki Ibada, ikiwezekana wakupe nafasi siku hiyo usimame madhabahuni na utoe neno kwa waumini na kwa watanzania wote kwa ujumla.
Wewe kama seasoned politician, sihitaji kukushauri nini cha kusema siku hiyo, bali nakuachia mwenyewe na zaidi nakuombea uzima na afya njema.
Mbowe sio gaidi.
Hivi unasoma na kuelewa nilicho kuandikia au unafanyaje?si wewe ndio ulisema mimi nitakua mkatoliki kuonyesha huna uhakika na imani yangu? kwanza nikakujibu katika sentensi ya kwanza tuu ili ufahamu mimi ni nani!Uko biased na u-catholic huo ubatizo, kommunio na kipamaira tumepewa pia....
Hata hizo jumuiya na vyama vya kitume mpaka charismatic
uongozi kwenye vigango, parokia mpaka jimbo tumeshiriki sana hamna chuki hapa,
Hao walipokuwa wanamkosoa Magufuli kwa udi na uvumba wakitetea watu wanaonewa,
leo imekuwaje wanakaa kimya kama waliongozwa na haki kumpinga Magufuli?
Hawa walikuwa wanatetea haki au maslahi yao?
Wanasubiri maslahi yao yaguswe ndio wang'ake?
Ungekuwa na akili ungejibu imekuwaje hawatetei haki saivi.
Mnaingia juzi kwenye u-catholic mnajifanya ndio mmeugundua.
Kama unajua ameonewa toa wewe waraka kwani wewe si Mtanzania? Kwa nini usitoe waraka? Ili hali unajua kua ameonewa!au wewe sio Mtanzania?Acha kulalama lalama kama mwehu mitandaoni toa waraka huo unaosema hata wewe ni haki yako kufanya hivyo usinyooshe wenzako kidole wakati wewe unahaki ya kikifanya hicho unawakosoa wanzako...ukisikia upunguni ndio huoWatu tumezaliwa kwenye ucatholic tunaujua vizuri sio ishu ya chuki usipanic.
Wao lazima wawe na concistency kama wanatetea haki watetee au wakae kimya
sio kusubiri interest zao zinaingiliwa ndio wanawaka kama wateteaji wa demokrasia.
Kwa Magufuli waliongoza kwa kutoa waraka leo mbona hatuoni waraka?
Ni nani asiyejua Mbowe ameonewa?
Walibanwa kodi kwenye taasisi zao wakajivika upigania haki tunawajua kwa kuweka interest zao mbele..
#msingi wa u-catholic ni kuutafta ukweli katika kila jambo.
Nimeweka screenshot hapo ujisomee hapo ulipoanza na neno bilashaka then useme ulitegemea nitakujibu nini halafu useme kati yangu na wewe nani kaanzisha mambo ya ukatoliki humu then ujione ulivyokua mpumbavu,ineptUko biased na u-catholic huo ubatizo, kommunio na kipamaira tumepewa pia....