kama mchumba wako ni mpentekosti, ndio utaratibu wao,Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Tatizo lipo aliponiambia Mchugaji wake ana muamini tokea siku nyingi na huyo mchungaji wake ana maono ya Nyuma ya pazi na kaniambia akinipeleka kwa huyo Mchungaji atapewa maono kama mimi nina wapenzi wengi au kwetu ni watu wa kwenda kwa waganga nk*Hangalia *hasije *hakakupeperushia njiwa.
Acha mawazo machafuMkuu,kwepa uo mtiani wa kingese,,inaelekea huyo boya mchungaji anamtafuna huyo kondoo kwa hiyo anaenda kukusoma kisaikolojia km wewe ni mbogo....km ni mbogo atamwambia usimuoe.
Uchafu wenu tunaujuaAcha mawazo machafu
Yeye anavyomita nimesikia anamuita Mchugaji, Mimi nimeingiwa na hofu baada ya kuniambia ana muhamini Mchungaji kwa % 100 kwa Maono yake, Nawasiwasi jambo lolote akiambiwa kuhusu mimi ataliamini ata kama siyo la kweli.Naomba kuuliza je mchungaji wake mtu wako anamuita
Daddie ???
Nenda tu ili usijemuharibia maisha mtoto wa watu mbeleni maana Pana watu wanaouwezo wa kuona ulivyo ndani.Tatizo lipo aliponiambia Mchugaji wake ana muamini tokea siku nyingi na huyo mchungaji wake ana maono ya Nyuma ya pazi na kaniambia akinipeleka kwa huyo Mchungaji atapewa maono kama mimi nina wapenzi wengi au kwetu ni watu wa kwenda kwa waganga nk
Kipi usichokielewa Hapo kwni ujui mabinti wa kiroho mchungaji ndie ushika ufahamu waoYeye anavyomita nimesikia anamuita Mchugaji, Mimi nimeingiwa na hofu baada ya kuniambia ana muhamini Mchungaji kwa % 100 kwa Maono yake, Nawasiwasi jambo lolote akiambiwa kuhusu mimi ataliamini ata kama siyo la kweli.