Nimekuelewa mkuu ushauri wako Mzuri.Ni Bora ya huyo Mke wako Mtarajiwa anakwambia muende Kwa Mchungaji...!
Japo vile ulivyoeleza hapa sio vile alivyokwambia....! Nenda nae na Mchungaji atawaombea.....!
Shetani Huwa anachukia kuona Watu wanafunga ndoa.
Gentleman,Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Afya inapimwa na wachungaji siku izi sio??.Nenda mkuu. Kwanza hapo mchungaji atataka mkapime afya kwanza isije ikawa umeshaungua ukaenda kuua kondoo wake.
Azingatie hapo kwenye mchungaji wa miaka mingi.Mchungaji wake wa miaka mingi, zingatia hapa.
Vyote ni Sawa na muhimu, mchungaji anaweza kuona kitu ambacho mzazi hawezi kuona, na mzazi anaweza kubaini kitu ambacho mchungaji asingekibaini haraka.Nikweli lakini ninavyojua mchakato namba moja lazima uanzie kwa Wazazi na siyo Mchungaji anachukua nafasi ya kwanza kupitisha ndoa au kuikataa ndoa kuliko Wazazi, ina maana mchungaji akimkataa Mchumba ndoa inakua haipo na Wazazi hawana nguvu tena.
Kwa dunia ya leo mwnye uhitaji wa ndoa ni mwanamke,sasa hatakiwi kukupangia masharti as if unaenda kufanyiwa judgement huyo mchungaji akisema yes ndoa ipo akisema no hakuna ndoa,ww amuq kama unaoa au unaenda kupangiwa taratibu!!Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?
Binti kama ana ukomavu ataelewa na akiwa hana atakuwa amekusaidia mapema kabla hamjaingia kwenye ndoa rasmi. Mipango ya Mungu ni mingi, suala la mke ni nyeti sana, hupaswi kuingia kichwa kichwa, usiogope mchakato.Wasiwasi wangu Ushauri wa huyo Mchungaji kuhusu maono anaweza akasema kaonyeshwa kwenye maono yake Mimi siyo mtu sahii kwa huyo binti, na Huyu mpenzi wangu kaniambia ana muhamini %100 kuhusu mambo anayomwambia na kaniambia huyu Mchungaji wake yupo nae Miaka mingi na Maono yake yanakua ya ukweli kwa %100.
Mume mwenzie huyoMchungaji wake wa miaka mingi, zingatia hapa.
Huyu mchumba wangu amenishtua aliponiambia tukienda kwa mchungaji akishaniona na kumuelezea ujio wetu kwake basi mchungaji atampa maono kama mimi nina mwanamke mwingine pembeni au Mimi siyo mtu sahii kwakeKwa dunia ya leo mwnye uhitaji wa ndoa ni mwanamke,sasa hatakiwi kukupangia masharti as if unaenda kufanyiwa judgement huyo mchungaji akisema yes ndoa ipo akisema no hakuna ndoa,ww amuq kama unaoa au unaenda kupangiwa taratibu!!
UkorofišKwa pastatoni
Nenda kamsikilize mchungaji anasemaje ulete mrejeshoMwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii mchungaji kutoa maono kwa Mwanamke kama Mwanaume anafaa kufunga nae ndoa?
Na je mliokua kwenye ndoa mlipelekana kwanza kwa wachugaji wenu ili kuwapa maono ya wenza wenu watarajiwa kama wanafaa kufunga nao ndoa kabla ya kwenda kutambulisha kwa Wazazi?