Ushauri: Mdahalo wa Wagombea Uwenyekiti Chadema Taifa

Hii hoja ya masikini wasiongoze uliwahi kuwaambia wenzio wa ccm?
 
Hakuna kosa kama kuchukua nchi na kumpa maskini kwa kigezo cha maskini kuwa na akili ya kuongoza.
Unakuta Kila awamu,tunaibiwa,kisa umaskini.
Bora kuwa na uongozi wa kifalme au kimalkia,kwani familia itaiba itatosheka haitaiba Tena,kuliko Kila awamu kuibua maskini mpya wa kutuibia.
 
Tanganyika,Kwa Sasa unaambia
1. Bandari imeondoka
2. Ngorongoro imeondoka
3. KIA imeondoka
4. Misitu imeondoka
5. Madini yameondoka,leseni za uchimbaji nchi zima zimechukuliwa
6. Gasi imeondoka

Next generation,itakuja kukuta Nini!
Hili ni tatizo la kuibua viongoz... Maskin...
 
Duh... Mambo ya kulinganisha mlima na kichuguu, lazima mlima utashinda, mgombea mmoja ataukacha huo mdahalo Je, CHADEMA wakubali au wasikubali Mdahalo wa Uenyekiti wa chama? Wenzenu CCM huwa hawakubali Midahalo
P
 
Kama anashida ya kujua maendeleo husika amtafute SAASISHA MAFUE mbunge wa hai na ndugu miraji mtaturu wa ikungi maana ndo wenye majimbo yao
 
Wasio kubali mdahalo ni wabakaji wa Demokrasia!
Unaamka asubuhi, mchana unaambiwa umeteuliwa kuwa mwenyekiti au makamu wa mwenyekiti wa chama! Hii sasa ni fedhea na Hila.
Amka asubuhi kajaze fomu,omba kugombea,omba kura,pigiwa kura pata au ukose then shangilia ushindi.

Hii biashara ya kupeana nafasi ukoo mmoja bila box la kura sasa ni laana!
 
Kama anashida ya kujua maendeleo husika amtafute SAASISHA MAFUE mbunge wa hai na ndugu miraji mtaturu wa ikungi maana ndo wenye majimbo yao
Ikungi haitaki kumsikia TAL.
Kwenye uongozi wake ikungi,Kila mtu aligombana na mwingine.miaka mitano,hakuna Barbara,hakuna maji,hakuna shule,hakuna vituo vya afya na zahanati, hakuna umeme.
 
Kwa hiyo twende Butiama kule nyumbani kwa Mwl Nyerere tupime maendeleo ya huko ndo tuyathaminishe na uwezo wa mwl ktk kulitumikia taifa la tanzania? Hakika Lissu atawabomoa mapafu
Na ubongo pia.
 
Ni hatari sana kumchagua mtu maskin.... kuwa Kiongozi!
Trump mungu ambariki
Kwa hiyo Kwame Nkuruma, Mandela, Patrick Lumumba walikuwa matajiri ?
Sifa za uongozi ni kuwa tajiri?
Chawa siku zote huwaza kichawachawa tu,ajipendekeze kwa tajiri ili ajaze utumbo wake mpana.
 
Hizo ni siasa,uhalisia ni kuwa tumepigwa.
Kwa namna ulivyoleta hoja zako unaonekana unamtetea Mbowe na humtaki Lissu sasa wewe mtetee mbowe nami nimtetee Lissu hapa JF tushuke nondo hapa kwa faida ya watz waliomo humu na hata wale wapitao (visitors)
 
Ikungi haitaki kumsikia TAL.
Kwenye uongozi wake ikungi,Kila mtu aligombana na mwingine.miaka mitano,hakuna Barbara,hakuna maji,hakuna shule,hakuna vituo vya afya na zahanati, hakuna umeme.
Kwani alikuwa anakusanya kodi?
Wenye akili tulizijua fitna za ccm.
CCM imeleta ujinga mwingi kwa watz wasiofiki sawasawa
 
Kwa hiyo Kwame Nkuruma, Mandela, Patrick Lumumba walikuwa matajiri ?
Sifa za uongozi ni kuwa tajiri?
Chawa siku zote huwaza kichawachawa tu,ajipendekeze kwa tajiri ili ajaze utumbo wake mpana.
Utaelewa baada ya mwaka 2030, bibi akituacha mbuzi,Abdul anagombea urais anamteua Riziwan..kuwa waziri mkuu
 
Kwani alikuwa anakusanya kodi?
Wenye akili tulizijua fitna za ccm.
CCM imeleta ujinga mwingi kwa watz wasiofiki sawasawa
Siku ya kupigiwa kura,atuambie kama ulivyosema
 
Mkapa .... Mama Anna Mkap... fisadi
JK.....Riziwan... fisadi
Saa100 .... ABDUL fisadi
Kwa hiyo ukipewa hela ya kula na tajir tayari anafaa kuwa kiongpzi? Hivi upo sawa ndugu au ndo upo kibaruani
 
Dogo umeitoa mawazo mazuri ila nakuonea huruma maana kundi la wafuasi Tundu Antipass Lissu halitakuacha salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…