Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Wewe ni timu mbo-we unataka kutuaminisha kuwa lisu sio raia ni mkimbizi 😀😀 pia unataka kutuambia kuwa lisu ni maskini hawezi kuongoza chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati nyarere akiwa madarakani ulisikiwa wapi kuwa kabinafsisha chochote je alikuwa tajiri?Tanganyika,Kwa Sasa unaambia
1. Bandari imeondoka
2. Ngorongoro imeondoka
3. KIA imeondoka
4. Misitu imeondoka
5. Madini yameondoka,leseni za uchimbaji nchi zima zimechukuliwa
6. Gasi imeondoka
Next generation,itakuja kukuta Nini!
Hili ni tatizo la kuibua viongoz... Maskin...