Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee sikuwahi kuona maticha wakuda kama hapo UDSM. Wanaweza kukufanya ujione inferior kweli kweli kutokana na uduwanzi wao!! Utakuta lecturer labda alisoma hapo na kuhitimu hapo, sasa anakuja kupewa afundishe kozi ambayo yeye alifaulu vizuri.Basi atahakikisha kuwa hakuna mwanafunzi atakae faulu kuivunja rekodi yake.Kuna mwanangu hapo coet,alikua anapiga electrical engineering,mwaka wa pili wakamla kichwa vizuri tu.akaenda hapo DIT kuanza upya akaanza kusoma Mechanical engineering, akapiga fresh akatoka na GPA nzuri tu ,sasa hivi yuko zake Acacia huko anakula mema ya nchi yake tu.
UDSM hizo kozi za BAED huwa wanakipata cha moto. Kozi kibao mpk mtu anachanganyikiwa. Mtu anasoma vitu vingi ambavyo hata haji kuvitumia awapo katika maisha ya kazini ila hapo chuoni anafosiwa kukariri tu.
Miaka hiyo kuna wanangu hapo COET walikuwa wakisoma kozi zaidi ya 13 per semister ndani ya miezi 4....imagine jinsi hiyo kitu inavyotesa.
Walichokuwa wakifanya ni kuwa ikikaribia UE huwa wanachagua masomo ya kufanya kama ni 9...huku hayo manne wanaingia kuandika majina tu siku za mitihani then wanatembea wakijua kabisa kuwa wataenda kupiga SUP september.
Mtu kadisco unamshauri akaombe tena SUA? Huwezi kuwa na akiliNashauri angeomba BBA, aombe Ruco au sauti mwanza, AEA SUA, au kozi za IFM hatojuta
😀😀😀😀Mtu kadisco unamshauri akaombe tena SUA? Huwezi kuwa na akili
Nimetumia uzombiMtu kadisco unamshauri akaombe tena SUA? Huwezi kuwa na akili
Kama Ile kozi imemuzingua hii ndio watamuaga mapema Tu kikubwa ni kusoma TuNashauri angeomba BBA, aombe Ruco au sauti mwanza, AEA SUA, au kozi za IFM hatojuta
Miaka hiyo washkaji wanapambana tu wavuke hiyo 1.8 GPA ,hawawazi kuhusu first, upper second wala lower second dadekiUmenikumbusha mbali kaka. Truth is huwez kusoma masomo mengi at once, kuna ambayo utalegeza kamba tu.. strategy tumeitumia sana japokuwa ni risky but it worked
TrueKwenye ajira hawaangalii GPA maana unapoomba kazi unatuma cheti kikichoandikwa tu eithe Upper Second Lower au vinginevyo unless iwe kazi specifically inataka 1st Class...ambazo kimataifa hakunaga maswala hayo...
SUA na UDSM ni vyuo vya kikuda sanaMtu kadisco unamshauri akaombe tena SUA? Huwezi kuwa na akili
Mtafutie chuo Cha Diploma akasomeKama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
View attachment 2380674
Weka na MUHASSUA na UDSM ni vyuo vya kikuda sana
Lakini hata UD hizo GPA za 4+ mbona zipo za kutosha?Mzee sikuwahi kuona maticha wakuda kama hapo UDSM. Wanaweza kukufanya ujione inferior kweli kweli kutokana na uduwanzi wao!! Utakuta lecturer labda alisoma hapo na kuhitimu hapo, sasa anakuja kupewa afundishe kozi ambayo yeye alifaulu vizuri.Basi atahakikisha kuwa hakuna mwanafunzi atakae faulu kuivunja rekodi yake.
Wakati ukienda Udom, Sauti,St john, St joseph ,Tumaini,Mzumbe n.k ni jambo la kwaida kuona watu wakipata GPA za 4 kwenda juu.
Zipo chache mno,labda 1 out of 10.Lakini hata UD hizo GPA za 4+ mbona zipo za kutosha?