Ushauri: Mdogo wangu kampa mdada mimba

Ushauri: Mdogo wangu kampa mdada mimba

tena madogo ndio huwa wanapiga mapacha mapacha
 
kiabailojia kama kabalehe mimba inaingia..shaka yangu isije kua kuna mtu mwingine alikua anapiga hapohapo so dogo akauziwa kicheche..chunguza vzr.
 
Ila mkamshtak huyo dda hyo ni kesi 15yrs ni mdogo sana
 
Hahah wakiume huwa ni wadogo, angekuwa wa kike ana 15yrs kusingekuwa na mshangao mkubwa sana. Kwa hyo jinsia za kiume tunachelewa kukua siyo?
 
Habari za leo,

Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27?

Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada amekuja home na wamama wakidai kapewa mimba na dogo ila mdogo wangu alikataa kuwa hajampa huyo mdada ambaye alisema ana miaka 27, ila saizi nimeongea na mdogo wangu kwa kumpeleleza sana akasema ni kweli alikuwa anasex naye.

Ila mimi nilitaka kujuwa kuwa nikweli kuna uwezekano wa kijana wa miaka 15 kumpa mdada wa miaka 27 mimba?

Na mimba inamiezi minne mpaka sasa, wasiwasi wangu asije akawa amesakiziwa maana wadada wa siku hizi ni hatari.

Huyo dada katenda kosa kubwa sana kwani kamlagai huyo mtoto...km kweli upo serious na huu uzi plz huyo dada lazima sheria ichukue mkondo wake haiwezekani huyo dada kumlagai huyo mtoto....kiasi hicho.???? nimeumia sana kwa kitendo alicho kitenda huyo dada kwa mdogo wako.Nakuomba mpeleke kwenye sheria husika kamwe hatawahi rudia
 
Bt its possible kumpa mimba...ila huyo dada ni ovyo cn....lazima ichukue mkondo kwann afanye hivyo na under18
 
Bt its possible kumpa mimba...ila huyo dada ni ovyo cn....lazima ichukue mkondo kwann afanye hivyo na under18

asante kwa ushauri ila naona wote wanashauri kumpeleka mahakamani tuu,,,ila kama naye dogo alilizia kusex si italeta shida tena
 
Huyo dada katenda kosa kubwa sana kwani kamlagai huyo mtoto...km kweli upo serious na huu uzi plz huyo dada lazima sheria ichukue mkondo wake haiwezekani huyo dada kumlagai huyo mtoto....kiasi hicho.???? nimeumia sana kwa kitendo alicho kitenda huyo dada kwa mdogo wako.Nakuomba mpeleke kwenye sheria husika kamwe hatawahi rudia

asante kwa ushauri ila kama naye dogo alipenda kusex na kurizia hapo sasa ndiyo itakuwa balaaa tuu
 
Hata kama dogo alipenda still umri wake haumpi utashi wa kuamua kufanya hivyo ndio maana hata kura hajapiga. We kaka mtu sijui dada mtu, acha kutetea, peleka huyo dada mahakamani kwa kumdhalilisha mdogo wako. Anaweza akawa amemwambukiza magonjwa pia.
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini bro kaoa nesi na hajaoa mwanasheria au mwasibu nikagundua manesi wanaumuhimu sana ndani hasa kwenye vitu kama ivi. Ungekuwa nesi ungeleta Uzi mwingine

Unamaanisha MISo zingehusika
 
Daah sa mkuu si haina tabu hapo cha msingi hapo amrudishie mdogo wako mimba yake tuu tatizo litaisha mana labda kijana alikuw hawezi iweka ndani mngeiona.
 
Masikini dogo tayari kashaharibiwa uvulana wake!
 
Hiyo mimba ya mtu mwingine.
Huyo dogo anataka kuuziwa kesi.
 
Miaka 15 sio hoja, hoja hapa ni je, kijana amebalehe, ana uwezo wa kumwaga shahawa? Kuna vijana wanawahi sana kubalehe wengine hata wakifika miaka 13 tayari mbegu zimeiva. Sasa hapo wakianza ngono, ndio uwezo wa kumpatia mwanamke mimba wanao, hata kama huyo mwanamke ana miaka 40. Tatizo sio umri.
 
Back
Top Bottom