Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za leo,
Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27?
Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada amekuja home na wamama wakidai kapewa mimba na dogo ila mdogo wangu alikataa kuwa hajampa huyo mdada ambaye alisema ana miaka 27, ila saizi nimeongea na mdogo wangu kwa kumpeleleza sana akasema ni kweli alikuwa anasex naye.
Ila mimi nilitaka kujuwa kuwa nikweli kuna uwezekano wa kijana wa miaka 15 kumpa mdada wa miaka 27 mimba?
Na mimba inamiezi minne mpaka sasa, wasiwasi wangu asije akawa amesakiziwa maana wadada wa siku hizi ni hatari.
Kwa nini asiwe na uwezo huo wakati wamefanyana???
Bt its possible kumpa mimba...ila huyo dada ni ovyo cn....lazima ichukue mkondo kwann afanye hivyo na under18
Huyo dada katenda kosa kubwa sana kwani kamlagai huyo mtoto...km kweli upo serious na huu uzi plz huyo dada lazima sheria ichukue mkondo wake haiwezekani huyo dada kumlagai huyo mtoto....kiasi hicho.???? nimeumia sana kwa kitendo alicho kitenda huyo dada kwa mdogo wako.Nakuomba mpeleke kwenye sheria husika kamwe hatawahi rudia
asante kwa ushauri ila kama naye dogo alipenda kusex na kurizia hapo sasa ndiyo itakuwa balaaa tuu
Nilikuwa najiuliza kwa nini bro kaoa nesi na hajaoa mwanasheria au mwasibu nikagundua manesi wanaumuhimu sana ndani hasa kwenye vitu kama ivi. Ungekuwa nesi ungeleta Uzi mwingine