Ushauri: Mdudu kidoleni

Ushauri: Mdudu kidoleni

Chanja kidole chako kisha weka maji ya betri ya gari. Itauma ila baada ya siku 2 utasahau.
 
Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Huyo mdudu akitoka anaenda wapi ??
 
Ninatoka hospital kwa sasa ni vyema uwai maana usipowai matatizo makubwa mgonjwa wangu alipata presha na sukar sababu ugonjwa huo chana sehem inayouma kisha kojolea mkojo kigdogo uone maumivu yataisha mzee mmoja alisema hiyo ni dawa imesaidia weng pia zipo dawa zingine nyingi kama za maumivu ili ulale usiku hasa za kuchua pembeni ya kidoke 0712505049 tuwasiliane zaid ila tatizo hilo usipuuze libasabisha ulemavu na kifo
 
Nashukuru kwa mchango wenu ila kidole kimepona na nilitumia njia kutwangwa kitunguu swaumu then nikafunga pale kwenye athari na wakati nimepapiga chale kidogo ili kupata mwanya wa kitunguu swaumu kuingia ndani ya nyama nilipokifunga toka usiku mpka asubuhi nilikuta usaha umejitokeza sikatoboa na kuanza kutumia doz ya kukausha vidonda ya antibiotic ya kuoshea mpaka kilipopona
 
Back
Top Bottom