Nobody loves me
Member
- May 12, 2016
- 20
- 9
Ukikitoa utakuta kina mdudu.Nikiwa sina mdudu nikalaza humo ndani itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikitoa utakuta kina mdudu.Nikiwa sina mdudu nikalaza humo ndani itakuwaje?
Dah kama ni hivyo ntaingiza tu nakutoa sikulazi humo humoUkikitoa utakuta kina mdudu.
Hii dawa ni mpya? Na imefanyiwa utafiti wapi na nani?Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Sasa akishatoka si atabaki kwenye costant "k" ya watu jamaniKiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Kesho lzm niifanye hii tiba,kumbe K pamoja ya kutupa starehe pia inatibu.Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Ndio maajabu aya nayasikia Leo...!Sasa akishatoka si atabaki kwenye costant "k" ya watu jamani
Ungekuwa Serious ungeenda hospital. .Tuache matan kwenye jambo la serious
Hii Anti Ampiclox naweza kuipata wapi?Tafuta dawa za maumivu /pcm/diclopar/brufen kati ya izo,Anti Ampiclox na metronidazole/flaggly kwa siku 5 kenaweza kwsha chenyewe bila kutumbuliwa...poole sanaa
Ni antibiotic inaitwa ampiclox...ziko kwenye maduka ya dawa...Hii Anti Ampiclox naweza kuipata wapi?
thank me later.Kesho lzm niifanye hii tiba,kumbe K pamoja ya kutupa starehe pia inatibu.
Nalog off
we ni meKiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
watu wana mambo sanaSasa hapo akitoka si ataingia ikulu?? Hahahah
Tafuta kitunguu swaumu twanga kilainike kiweke eneo husika funga na plasta au bandage, tiba nzr sana hiyo.Habarini wakuu,
Nimeingiwa na mdudu kidoleni, nifanyeje?
Ushauri please