Ushauri: Mdudu kidoleni

Ushauri: Mdudu kidoleni

Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Hii dawa ni mpya? Na imefanyiwa utafiti wapi na nani?
 
Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Sasa akishatoka si atabaki kwenye costant "k" ya watu jamani
 
Kiingize kidole chenye mdudu kwenye K usiku mzima wakati mmelala bila kukitoa asubuh ukiamka utakuta keshatoka. Sitanii.
Kesho lzm niifanye hii tiba,kumbe K pamoja ya kutupa starehe pia inatibu.
Nalog off
 
Dawa yake subiri kiive kidogo, kikamue, kisha kaning'inize juu ya shimo la choo cha shimo asubuni na mapema kabla watu hawajaanza kutumia. Muda ni dk 15.
Hakikuisha shimo lenyewe liwe la watu wanaokula ugali na vitu vinavyofanana.
 
Tafuta dawa za maumivu /pcm/diclopar/brufen kati ya izo,Anti Ampiclox na metronidazole/flaggly kwa siku 5 kenaweza kwsha chenyewe bila kutumbuliwa...poole sanaa
Hii Anti Ampiclox naweza kuipata wapi?
 
Habarini wakuu,
Nimeingiwa na mdudu kidoleni, nifanyeje?
Ushauri please
Tafuta kitunguu swaumu twanga kilainike kiweke eneo husika funga na plasta au bandage, tiba nzr sana hiyo.
 
Umenikumbusha ile hadithi ya mwarabu na mtumishi wake,kuna siku mtumishi alijikata kwenye kidole damu ikawa inatoka, akamuomba dawa boss wake,mwarabu akamwambia dawa nzuri ninayo,basi yule mwarabu akanyanyua shuka lake akainama, akamwambia mtumishi atie kidole mk¥#ni,yule mtumishi akatia baada ya muda akamwambia atoe, alivyotoa ile damu ikakata,zikapita siku mara mwarabu akamfuata mtumishi akamwambia nilikuwa najinyoa huku ma¥£zi nikajikata kwenye pipe sasa nipe ile dawa.
 
Duu asee nimecheka sana hadinikakosea sain kwenye file !!yaani mwenzetu anaomba ushauri mnamwambia aweke kidole kwenye nanihiii!!! Kwani yeye anataka kupima tezi dume?? J.f bhana!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom