Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Nikuamini wewe kama nani? Niache kuamini takwimu za serikali, mimi nina vijana ambao wanaweza kukuoa wewe na kukuzalisha. Wanafanya kazi Kibaha kuna viwanda kibao wachina wamevianzisha. Lakini sababu unaishi maisha ya ya mtandaoni endeleza huo ushabiki.
Naona ushaishiwa hoja umeanza viroja .
 
Attachments

  • Screenshot_20200904-092218.png
    Screenshot_20200904-092218.png
    66.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200904-091857.png
    Screenshot_20200904-091857.png
    21.4 KB · Views: 2
Nimekuuliza ndege zinaendeshwa kwa faida au kwa hasara naona tu unazunguka. Mwisho wamwaka wakikaa wakafanya tathimini ya mwaka mzima wanakuta wamepata faida katika majumuisho yao?.
Zinaendeshwa kwa faida ndio maana unaona kila siku zinaruka zingekuwa zinaendeshwa kwa hasara zingeshapaki
 
Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda.

Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha vipi nchi yetu kuwa ya viwanda, kunaviwanda vipya vingapi, kama viwanda vipya vimeongezeka naamini navijana wengi watakuwa wameajiriwa huko, waeleze watanzania namna ulivyoigeuza nchi yetu kuwa ya viwanda. Maana kwa sasa tangu kampeni zianze sijasikia hata kwa bahati mbaya ukizungumzia unahitaji nchi ya viwanda.

Pia ningekushauri ujikite kwenye hoja mara nyingi, ueleze wananchi ni namna gani ndege 11 zilivyobadili uchumi wa mwananchi mmoja mmoja, Watanzania niwatu wakarimu na niwaelewa naamini watakuelewa ukiwambia nimamna gani umepunguzwa umasikini wao.

Mwisho tunahitaji Nchi ya Viwanda, Tanzania ya Magufuli tunahitaji nchi ya viwanda kwelikweli.
Mnapenda kudanganywa
 
Imekuwa Serikali ya Vibanda badala yake!
 
Back
Top Bottom