Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Bajeti kutotekelezwa kwa asilimia 50 sio kigezo cha kilimo kutopewa kipaumbele.Maisha halisi ya uzalishaji niyapi mkuu wakati sekta kuu yauzalishaji katika viwanda ni kilimo, nabajeti yakilimo kwa miaka minne iliyopita haijatekelezwa hata mwaka mmoja wa bajeti japo kwa asilimia 50.?.
Uzalishaji wa vitu mbalimbali, nguo, zana za kilimo na vitu vingi tu vinavyotengenezwa nchini.
Tubadili aina ya ufikiriaji wetu na kuwa watu chanya zaidi kuliko watu wa kuponda kila kitu.