Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Ndio anataka mgombea wake aseme kwenye kampeni!Amefanikishaje sera yake ya Tanzania ya viwanda?Maana hazungumzi kabisa!
Maana 2016 kila mtu akikosea alikua anasema anamkwamisha kufikia nchi ya viwanda. Kwenye huu uchaguzi hazungumzii kabisa nchi ya viwanda alivyoifanikisha.
 
Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme (stieger's gorge), Reli (sgr) na barabara ndio aendelee na viwanda.
 
Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme (Stiegler's Gorge), Reli (sgr) na barabara.
Kwahio viwanda kwa 2015/2020 ilikuwa niaahadi hewa?
 
Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme(stieger's gorge),Reli(sgr) na barabara ndio aendelee na viwanda
Ndio ayaseme hayo!
 
Sasa mkuu sindio mgombea wetu POMBE atueleze alivyofanikisha hayo, namna alivyoweza kuunganisha viwanda na ajira. Au nijukumu lanani kuelezea hayo wakati wakampeni?.
Sio lazima uambiwe kila kitu. We huna macho na akili za kug'amua hayo?
 
Amegundua kuwa ili ajenge viwanda lazima aanze na miundo wezeshi kwanza so ameamua kumaliza miundo mbinu wezeshi ikiwemo umeme (stiegler's gorge), Reli (sgr) na barabara ndio aendelee na viwanda
Ethiopia wana Ndege zaidi ya 110,bwawa kubwa la umeme afrika nzima,flyover za hatari pale Addis Ababa, Treni za umeme wanazo lkn waethiopia wanakamatwa daily kwny makontena huku bongo.

Go figure.
 
Mkuu Pombe anaweza, kama anasema kwa kupotosha Lissu kasema eti hatotoza kodi wakimpa uraisi,anashindwaje kusema alipoifikisha Tz ya viwanda aliyotuahidi 2015.
Hajasema hatatoza kodi anasema ATAPUNGUZA KODI, tatizo watu hata mtu aongee vipi lkn bado tu hamuwezi kuelewa labda ndio maana kuna wanaovuta mkia darasani..!!
 
Sio lazima uambiwe kila kitu. We huna macho na akili za kug'amua hayo?
Nini maana yakupiga kampeni? Silazima azungumzie mafanikio yake katika alivyoahidi? Mbona Ndege anaezungumzia, sgr, barabara sasa mimi naomba azungumzie na viwanda alivyoahidi.
 
Nini maana yakupiga kampeni?. Silazima azungumzie mafanikio yake katika alivyoahidi?. Mbona Ndege anaezungumzia,sgr,barabara sasa mimi naomba azungumzie na viwanda alivyoahidi.
Mbona hujauliza mafanikio ya kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya? Acha mihemuko.
 
Hajasema hatatoza kodi anasema ATAPUNGUZA KODI, tatizo watu hata mtu aongee vipi lkn bado tu hamuwezi kuelewa labda ndio maana kuna wanaovuta mkia darasani..!!
Nimeposema Pombe anapotosha hujaelewa kuwa mimi nimemuelewa Lissu lkn Pombe anapotosha, hebu rudia kusoma vizuri, isijekuwa nyie ndio mnasoma masuali halafu mnajibu kitu ambacho hakijazungumziwa.
 
Ethiopia wana Ndege zaidi ya 110,Bwawa kubwa la umeme afrika nzima,flyover za hatari pale Addis Ababa,Treni za umeme wanazo lkn waethiopia wanakamatwa daily kwny makontena huku bongo.

Go figure.
Watu hawaelewii mkuu.
 
Sio kila mafanikio uulize. Maadamu unajua kuna mafanikio we tuliza mzuka.
Natulizaje mzuka mkuu, wakati sera kuu ya 2015 ilikua Tz kuwa nchi ya viwanda, halafu 2020 hasemi kama tumeshakua nchi ya viwanda au bado.
 
Natulizaje mzuka mkuu, wakati sera kuu ya 2015 ilikua Tz kuwa nchi ya viwanda, halafu 2020 hasemi kama tumeshakua nchi ya viwanda au bado.
Hiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?
 
Back
Top Bottom