Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Hiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?
Slogan ilikua "HAPA KAZI TU" lakini ndani yahapa kazi tu ndio palikuwepo Tz ya viwanda,madawa yakulevya na kadhalika, sasa mimi nimeanza kuulizia viwanda,nawewe unaweza ulizia unavyotaka mkuu.
 
Mwafrika kalelewa kijamaa huwa ana zile akili za dezo.

Unapopelekwa shule maana yake ujiongeze wewe mwenyewe baadae, sio kila kitu ni cha kutafuniwa na wewe umeze tu.

Vijana wajanja wanatafuta fursa zao wenyewe kujiendeleza, hawasubiri ahadi za mwanasiasa ii baadae wapate cha kukejeli.

Ndege zina leta watalii, wale wenye kampuni za utalii wanajua madhara ya corona.

Huwezi ukaziponda ndege kipindi hiki cha maradhi ya kidunia, umuhimu wake utarudi tu baada ya maisha ya kawaida kurudi.
 
Akivitaja viwanda 15 tu vikubwa vilivyojengwa katika awamu yake nitapiga punyeto mchana Kariakoo kweupe.
- Ataje mahali vilipo
- Bidhaa zinazozalishwa na
-Kiasi cha Bidhaa zinazozalishwa kwa siku.
 
Acha kuwa na akili zilizoganda. Ulifikiri kuwa nchi ya viwanda ndio serikali ijenge kiwanda kila kata. Hii ni sera endelevu ambapo wawekezaji wanaopewa kipaumbele na mazingira rafiki ili wajenge viwanda. Hapo zamani Tanesco walikuwa wanaagiza mita toka nje sasa hivi zinatengezwa hapa Tanzania. Huoni kuna mabadiliko?
Unaijua TANELEC wewe?
Unajua ilianzishwa lini?
Unajua ilikuwa inatengeneza nini?
Unajua nani aliiua?
Unajua General Tyre?
Unajua UFI?
Unajua Matsushista?
Hivyo viliuliwa na nani?
Je,akili ile ile iliyotengeneza tatizo,inaweza kweli kulitatua hilo tatizo?
 
Viko wapi mkuu, mimi niko huku kwetu nanjilinj sijaona kiwanda
Viwanda sio kama duka la kuuza omo la mangi jirani yako ni mchakato unaoendelea kila nchi.

Na vitaongezeka kadri bandari zinavyopanuliwa, vitaongezeka kadri wasomi wanavyoingia katika soko la ajira.

Viwanda vina maana pana sana tofauti na ile ya jumla.
 
Mwafrika kalelewa kijamaa huwa ana zile akili za dezo.

Unapopelekwa shule maana yake ujiongeze wewe mwenyewe baadae, sio kila kitu ni cha kutafuniwa na wewe umeze tu.

Vijana wajanja wanatafuta fursa zao wenyewe kujiendeleza, hawasubiri ahadi za mwanasiasa ii baadae wapate cha kukejeli.

Ndege zina leta watalii, wale wenye kampuni za utalii wanajua madhara ya corona.

Huwezi ukaziponda ndege kipindi hiki cha maradhi ya kidunia, umuhimu wake utarudi tu baada ya maisha ya kawaida kurudi.
Viwanda vulivyoanzishwa utawala huu vimesaidia vipi kupunguza tatizo la ajira?.

Je mbona sasa hatusikii kwenye kampeni akinadi alivyoifanikisha nchi ya viwanda kama ulivyokua 2015?.

katika suala laviwanda ndani yamiaka hii miatano amefaulu au amefeli?.

Je kama kafeli kipindi ananadi sera yaviwanda ilikua nikutafuta tu njia yakwekda Ikulu?.

kama kafaulu kwa nini hazungumzia mafanikio yaviwanda nyakati hizi kama ilivyo katika ndege au barabara?.
 
Hiyo ni kampeni slogan,ndio maana Ccm imefanya makubwa kwa kila sekta sio viwanda tu. Kwa hiyo acha kukariri. Kwani kusema Tanzania ya viwanda ndio kusema kilimo na madini hamshughuliki nayo?
Mnayemtetea akipita humu jukwaani mwenyewe anacheka kwa kuona majitu yalivyo
 
Viwanda sio kama duka la kuuza omo la mangi jirani yako ni mchakato unaoendelea kila nchi.

Na vitaongezeka kadri bandari zinavyopanuliwa, vitaongezeka kadri wasomi wanavyoingia katika soko la ajira.

Viwanda vina maana pana sana tofauti na ile ya jumla.
Kama aikchaguliwa tena atakua najumla ya miaka 10 tu yakutuongoza Watanzania. Je, kwa adhima yake unaona atafanikisha nchi yetu kuwa ya viwanda (kwa ujumla)?
 
Bosco must go, through ballots box or demonstrations, after General elections we should take him in jail Bosco you steal our Tl 1.5/ Tugambile amazima bosco
 
Akivitaja viwanda 15 tu vikubwa vilivyojengwa katika awamu yake nitapiga punyeto mchana Kariakoo kweupe.
- Ataje mahali vilipo
- Bidhaa zinazozalishwa na
-Kiasi cha Bidhaa zinazozalishwa kwa siku.
Mkuu Sandali unaongea kama mtoto aliyejilea mbali kabisa na wazazi wote wawili.

Kiwanis hakimaanishi jengo moja lenye kumilikiwa na mtu mmoja.

Ujasiriamali wa watu mbali mbali pia ni kundi la viwanda, wapo wanaojiunga na kuanzisha biashara za kutengeneza viatu hao pia ni sehemu ya viwanda.

Kuna wanaojiunga na kuanzisha biashara za uvuvi hao pia ni sehemu ya viwanda.

Utakuwa huna uelewa ukiamini kwamba viwanda ni vile tu vyenye kufanana na maana ndogo iliyo kichwani mwako.
 
Unaijua TANELEC wewe?
Unajua ilianzishwa lini?
Unajua ilikuwa inatengeneza nini?
Unajua nani aliiua?
Unajua General Tyre?
Unajua UFI?
Unajua Matsushista?
Hivyo viliuliwa na nani?
Je,akili ile ile iliyotengeneza tatizo,inaweza kweli kulitatua hilo tatizo?
Makosa yanafanyika, watu wanajitathimini na kujirekebisha. Hivi sasa tu free market economy sahau hayo ya zamani.
 
Back
Top Bottom