Uchaguzi 2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

Naona ushaishiwa hoja umeanza viroja .
 
Nimekuuliza ndege zinaendeshwa kwa faida au kwa hasara naona tu unazunguka. Mwisho wamwaka wakikaa wakafanya tathimini ya mwaka mzima wanakuta wamepata faida katika majumuisho yao?.
Zinaendeshwa kwa faida ndio maana unaona kila siku zinaruka zingekuwa zinaendeshwa kwa hasara zingeshapaki
 
Mnapenda kudanganywa
 
Imekuwa Serikali ya Vibanda badala yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…