Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.
Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.
Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.
All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!
ccm kuwa makini ili kitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?
ccm kuwa makini ili jitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?
Kuna shida ??
Unazani sielewi nilichomanisha,? Nendeni hako na kazi yenu ya kuwatoa duniani wapinzani wenu eti wanawaita wagojwa,kama ingekuwa hivyo sijui waliomsema kikwete alipoanguka wageisha dunianikuwa making?
Umesahau huyu ndiye mfuasi wa safari iliyoishia dodoma?safari feki ya matumaini hola.
unazani sielewi nilichomanisha,? Nendeni hako na kazi yenu ya kuwatoa duniani wapinzani wenu eti wanawaita wagojwa,kama ingekuwa hivyo sijui waliomsema kikwete alipoanguka wageisha duniani
Nani atokwe povu kwa ajili ya kuondokewa na Kapi?