Ushauri: Mgombea wa CCM aongezewe ulinzi!

Ushauri: Mgombea wa CCM aongezewe ulinzi!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.

Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.

Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.

Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.

All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!
 
Mkuu huo ni ukweli usiopingiga ,wakicheza na kupuuza itakuwa hatari,kuna MTU anataka ikulu hata kwa njia za kuwamaliza watu wote wanaonekana kumzibiti kwenda ikulu,
 
Ccm kuwa makini ili jitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?
 
Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.

Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.

Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.

Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.

All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!

Jingalao kwenye ubora wako
 
ccm kuwa makini ili kitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?

kwa kuiba watu midomo 😆?
 
ccm kuwa makini ili jitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?

kuwa making?
 
Ccm kuwa makini,ili jitu linalotaka ikulu kwa kuiba watu midomo wasiseme na wengine kuwaondoa duniani kwa miujiza sielewi ikulu kuna nini?
 
kuwa making?
Unazani sielewi nilichomanisha,? Nendeni hako na kazi yenu ya kuwatoa duniani wapinzani wenu eti wanawaita wagojwa,kama ingekuwa hivyo sijui waliomsema kikwete alipoanguka wageisha duniani
 
mlinzi mkuu ni MUNGU na sio binadamu kama akili yako ndogo inavyokutuma
 
unazani sielewi nilichomanisha,? Nendeni hako na kazi yenu ya kuwatoa duniani wapinzani wenu eti wanawaita wagojwa,kama ingekuwa hivyo sijui waliomsema kikwete alipoanguka wageisha duniani

nendeni hako, wageisha
 
Back
Top Bottom