Back to topic!
Mabadiliko yaliyo bora yataletwa na Magufuli kwa kuchapa kazi tu.
Umesahau huyu ndiye mfuasi wa safari iliyoishia dodoma?safari feki ya matumaini hola.
Mabadiliko yaliyo bora yataletwa na Magufuli kwa kuchapa kazi tu.
Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.
Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.
Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.
All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!

hivi wewe ndiye jingalao kweli?Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote.
Ni ukweli usio na shaka kuwa kuna wanaoombea apate ajali iwe ya kimazingira au kimazingara.
Ukweli huo usipuuzwe na CCM ichukue hatua kwa kuongeza ulinzi kwa rais mtarajiwa ikiwa ni pamoja na timu ya mafundi watakaokuwa wanalikaguwa gari la mgombea kila mara.
All in All Jembe la vita lisiwe na wasiwasi na liendelee na kazi tu!
Unazani sielewi nilichomanisha,? Nendeni hako na kazi yenu ya kuwatoa duniani wapinzani wenu eti wanawaita wagojwa,kama ingekuwa hivyo sijui waliomsema kikwete alipoanguka wageisha duniani
Mungu akikuita, hata uweke walinzi wenye vifaru atakuchukua katikati ya vifaru na hao askari wakishuhudia. Hata uzungukwe na tunguli za waganga wote, atakuchukua ukiwa katikati ya tunguli na tunguli zisifanye chochote. Ni Mungu wa miungu, watu wanatembelea gari ambazo risasi haipenyi lakini Mungu akisema njoo hata uwe kwenye gari ambayo haipenyi risasi, unalala kwenye nyumba ambayo haipenyi risasi, akikuita, utaondoka tu. Hakuna mwanadamu anayeweza kuzuia kifo cha mwanadamu mwenzie isipokuwa Mungu tu. Na ulinzi mkuu wa mwanadamu unatoka kwa Mungu tu lakini si kwa wanadamu hawa wenye bunduki.
Mkuu huo ni ukweli usiopingiga ,wakicheza na kupuuza itakuwa hatari,kuna MTU anataka ikulu hata kwa njia za kuwamaliza watu wote wanaonekana kumzibiti kwenda ikulu,