USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
3,570
Reaction score
5,508
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo .. nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki.

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama JamiiForums haijawahi niangusha.
 
Nitafute kama unataka kutoka,,ila use tayari kuacha kazi kama una umri usio zidi miaka 35 na uwe umefanya kazi kwa zaidi ya miaka 8
 
Comrade biashara ya mazao huwa ipo smart sana, unaagiza mzigo unakufuata mpaka ulipo ama ufuge mifugo vinginevyo mzee utalia kama mtoto.
boss nmezunguka kwe maisha ya kilimo all my life kuona kwa wazazi...lakini sio hii biashara ina extenarlities nyingi...mfano mazao kua mengi,,bei kushuka etc..ila ntaliangalia kwa ukariibu
 
Fungua kiwanda kidogo eneo unaloishi hasa kama ni kijijini mtaji unatosha kabisa,ajili wanaokosa nafasi ya kuendelea na masomo kwenye eneo lako.
 
Biashara ni nyingi but if it was me... Ningejitumbukiza kwenye usafirishaji.
unaweza specify "meinkampf" ah ah bodaboda,bajaji basi au? vp kuhusu ufuatiliaji..sababu mi kinachonnibana ni mda mzee...vp kuhusu real estate..nikiwekeza kwe kanyumba hivi nna kiwanja cha mzee katikati ya mji
 
Fungua kiwanda kidogo eneo unaloishi hasa kama ni kijijini mtaji unatosha kabisa,ajili wanaokosa nafasi ya kuendelea na masomo kwenye eneo lako.
dah specific kiwanda gani boss....and hiyo sio charity maana lazima ilipwe hii
 
boss nmezunguka kwe maisha ya kilimo all my life kuona kwa wazazi...lakini sio hii biashara ina extenarlities nyingi...mfano mazao kua mengi,,bei kushuka etc..ila ntaliangalia kwa ukariibu
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mkulima na mfanyabiashara wa mazao, upo hapo? watu lazima wale hata kama kuna ugumu wa maisha wa namna gani, mazao faida yake ni ndogo lakini yanatoka sana na hayana changamoto nyingi zaidi ya kulipa ushuru wa halmashauri husika basi, biashara zingine TRA, TFDA, Zimamoto, Umeme, Mlinzi, leseni nk. Ok we ndiyo mwenye maamuzi mkuu.[/QUOTE]
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mkulima na mfanyabiashara wa mazao, upo hapo? watu lazima wale hata kama kuna ugumu wa maisha wa namna gani, mazao faida yake ni ndogo lakini yanatoka sana na hayana changamoto nyingi zaidi ya kulipa ushuru wa halmashauri husika basi, biashara zingine TRA, TFDA, Zimamoto, Umeme, Mlinzi, leseni nk. Ok we ndiyo mwenye maamuzi mkuu.
[/QUOTE]
i hear you bro will definatelly look into it....
 
Lets simplify,tell me where you are, tribe and nature of your current work!
 
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha
Na amni wewe utakuwa umesoma vizur kama umesoma vizuri utakuwa na upeo wa akili vizur .

Ushauri kama ni mkazi wa Dar es salaam nenda kanunue shamba kama hekari moja na nusu au mbili maeneo ya Bunju anzisha ka bustani cha mboga mboga mfano nyanya ,mchicha nk utatengeneza hela nzuri na utakuwa huja poteza hela hata kama biashara ikikushinda unayo plot
 
7f2fb67ec3e4346138e22c6ce8239c15.jpg

fanya hivyo hapo juu
ah ah nimeipenda hii in long run=kutoboa.... ila easy said tha done broo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
I have to take the risks others don't take to live a life they don't!!! That's knowing your comittment to this, your tribe matters alot!!
 
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha
UNANGOJA NINI KUINGIA NDANI YA HUU MPANGO?

Package hizi hapa NA malipo yake..
1. Bronze ...$307 paid $12.75 weekly
*Jiunge nayo kwa 675, 000/= utalipwa 28,000/=kwa wiki*.

2. Silver ...$561 paid $27.75 weekly
*Jiunge kwa kulipia 1,234,000/= utalipwa 61,000/= kila wiki*

3. Gold...$1070 paid $51 weekly
*Jiunge kwa 2,354,000/= utalipwa 112,000/= kila wiki*

4. Gold+ ...2086 paid $170 weekly
*Jiunge kwa 4,600,000/= utalipwa 374,000/= kila wiki*

Faida kwa kila package bila networking per month

1.Bronze= 12.75×4=51-50=$1[emoji17] Poor profit per month
*faida ni 2,200/=*

2. Silver=27.75×4=111-50=$61 per month.. not much
*faida ni 134,000/=*

3. Gold=51×4=204-50=$154 [emoji4]per month Good profit
*Faida ni 338,000/=*

4.Gold+= 170×4=680-50=$630 [emoji16]per month.. Excellent profit
*Faida ni 1,386,000/=*

*NB:*
Keywords : rate $1=2,200/
-50? Ni ya service charges ac back-office yako ktk system.. Kwa maelezo .nicheki wasap au call 0625798455
 
Back
Top Bottom