USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

Businessman ni risk taker. Na kama huwezi kuwa tayari kwa risks then changamoto za kibishara zitakutoa kwenye mood ya biashara.

Halafu unaweka mawazo ambayo hayana kipaumbele kabisa. Kurogwa !!! Hamnaga kitu kama hicho. Kupigwa shaba !! Kuna wenzio wanamitaji ya mil 200 kwenye fani, itakuwa ww !!?
Katika mtaji wako wa m. 20, nimekuwekea nauli na mambo madogo madogo m. 2. Na mtaji Wa biashara m. 18. Balanced !!!
Biashara ya ununuzi wa madini ya dhahabu inafanyika vijijini kwenye machimbo popote utakapopaamini Tanzania. Lkn mie nitakuonyesha mazingira yaliyo more secured kwako unayeanza.
nahisi alufu ya utapeli hapa
 
Back
Top Bottom