USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

MADINI NA HASA DHAHABU
Utatumia mil. 18 kama principal capital. Utanunua dhahabu kwa tsh 60,000 kwa gram. Hivyo utapata gram 3000 sawa na kilo tatu. Kwa bei ya mauzo Dar ni 70,000 kwa gram. Namaanisha fanya biashara ya faida ya elfu kumi. Kwa gram zako 3000 ni faida ya mil.30. Na trip ya kikazi hata kama itakuchukua muda sana ni wiki 3.

Kama utahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara hii namba yangu ni 0786187408
faida million 3 kaka..hiyo dhahabu maana unaifuata kijijini..hapo hujaweka risk factor kama kurogwa kupigwa shaba nauli...mh ntacheki
 
kama hujawahi fanya biashara kuna uwezekano mkubwa hiyo 20m isirudi ila itakujengea uzoefu wa hapo baadae maana utajua biashara gani unaiweza kuifanya vizur
 
kama hujawahi fanya biashara kuna uwezekano mkubwa hiyo 20m isirudi ila itakujengea uzoefu wa hapo baadae maana utajua biashara gani unaiweza kuifanya vizur
wanasema experience is the mother of all
 
faida million 3 kaka..hiyo dhahabu maana unaifuata kijijini..hapo hujaweka risk factor kama kurogwa kupigwa shaba nauli...mh ntacheki
Businessman ni risk taker. Na kama huwezi kuwa tayari kwa risks then changamoto za kibishara zitakutoa kwenye mood ya biashara.

Halafu unaweka mawazo ambayo hayana kipaumbele kabisa. Kurogwa !!! Hamnaga kitu kama hicho. Kupigwa shaba !! Kuna wenzio wanamitaji ya mil 200 kwenye fani, itakuwa ww !!?
Katika mtaji wako wa m. 20, nimekuwekea nauli na mambo madogo madogo m. 2. Na mtaji Wa biashara m. 18. Balanced !!!
Biashara ya ununuzi wa madini ya dhahabu inafanyika vijijini kwenye machimbo popote utakapopaamini Tanzania. Lkn mie nitakuonyesha mazingira yaliyo more secured kwako unayeanza.
 
wanasema experience is the mother of all
kweli kabisa....wengi waliofanikiwa either wamefanya biashara moja kwa muda mrefu or wamefanya biashara zaidi ya moja na kuchagua moja wanayoiweza vizur
 
Kuna sehemu ya rafiki yangu kakwama anauza goba nunua baada ya mwaka utauza double the price nicheck inbox
 
wanasema experience is the mother of all
Mambo best!! za siku mingi..ebu fanya kuniletea nizizungushe hapa bureau de change huku tukisubiria wazo zuri la biashara!! haswaa enzii hizi za kuisoma namba.
 
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha
Mkuu kwa usawa huu wa magufuli kitu pekee unaweza kufanyia hiyo hela ni kujenga, vinginevo zitayeyuka. Usithubutu kufanya biashara kipindi hiki.
 
Mkuu kwa usawa huu wa magufuli kitu pekee unaweza kufanyia hiyo hela ni kujenga, vinginevo zitayeyuka. Usithubutu kufanya biashara kipindi hiki.
niko sana upande wako kaka
 
Mambo best!! za siku mingi..ebu fanya kuniletea nizizungushe hapa bureau de change huku tukisubiria wazo zuri la biashara!! haswaa enzii hizi za kuisoma namba.
ah ah aje bebe wa forums..upooo..sio tuzitumbue mama
 
Fanya biashara ya kununua na kuuza nafaka itakulipa maana magu hata abane VP watu lazima wale Mkuu.
 
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha
Ninachoweza kukushauli ni kwamba tafuta eneo ambalo limechangamka then fungua duka kubwa la vyakula au mini supermarket then fanya biashara kwa ukalimu na ucheshi,fanya wateja wako wawe marafiki.usiwe na mawazo ya kuchukua hera dukani atleast for 5 miezi ili mtaji ujizungushe kutengeneza mtaji mkubwa baada ya hapo unaweza kutengeze faida isiyopungua lak 1 per day ukiachilia mbali mtaji wako.
Hata mkuu abane vipi lazima watu wale,karibu kwenye game huwezi tajilika kwa siku moja.
 
Hv inakuwaje mtu unakopa pesa kabla ya kujua utafany biashar gan hiv uko serious
 
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.

Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki

Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha
Mkuu mm nikushauri tu bure bure.. fanya ufugaji wa ngombe wa maziwa... tafuta ngombe aina ya jersy au holstein fresian.. wanauzwa between 1.5 to 1.7m.. tafuta majike wa 5 ambao tayr wanamimba... hawa watakua wanakupa average ya litre 20 za maziwa kwa siku kwa kila ngombe mmoja... kwaio minimum utakua unapata litre 100 kwa siku... maziwa fresh litre moja ni tshs elfu 2... kwaio ww kila siku utakua hukosi laki 2... gawana hio na ngombe wako... ww laki na ngombe laki... utajikuta kwa mwezi umetengeza 3mn cash... ndani ya mwaka tu... umerudisha pesa yako.. na ngombe wanajifungua.. ndama unapata wakike pia.. maanake kwa tarehe kama hZ mwakani ww tayari unangombe kumi... piga hesabu mwenyewe... ukifanikiwa usinisahau katika ufalme wako.. wazungu wanamsemo.. to dare is to do...
 
Ndugu yangu wengi wamekushauri vizuri wacha na Mimi nikushauri Mimi nipo huku Chanika kuna biashara ambayo vijana wengi huku Chanika imewatoa kimaisha iko hivi heka moja inauzwa milioni kumi mpaka kumi na tano ukikata viwanja unapata viwanja ishirini ambacho kimoja utauza kuanzia milioni moja na laki mbili ambayo ukizidisha mara ishirini unapata milioni ishirini na nne vile vile hii biashara haina risk kwa sababu ardhi haiozi kwa mawasiliano piga 0718239997
 
Back
Top Bottom