USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

Ila we jamaa unaondokaje kwako unasafiri na unalala huko huko unarudi kesho yake usiku alafu unataka maisha yaendelee tu kama kawaida tu yaani, kama hakuna kilichotokea yaani

We angekufanyia hivyo ungeweza kuendelea tu kucheka nae na ishu zingine tu kama kawaida?
 
Saikologia inasema hivi km mtu amekuchoka.
1.anamipango mingine nje ya alipo
2.amejiandaa kimaisha na anauhakika hata usipokuwepo ataidshi tu...
Hata kama ndiyo aondoke bila kuaga?
 
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi...
Tumia busara kuziweza akili za mkeo.

Kugombana sio afya kwenye mahusiano yenu.
 
Kuna uzi hapa unaelezea kuhusu hii changamoto ngoja nikautafute nilete hapa link.
 
 
Wewe kwanini hukumuaga. Halafu shida yako ni matumizi yake makubwa au kutaka kwake kuondok kwa sababu hujamuaga?
 
Hujaeleza hayo matumizi mabaya ya fedha ni yapi. Inakuwa ngumu kukushauri
 

Wahusishe washauri wenu walioshuhudia ndoa yenu ikifungwa
 
Njia nzuri ya kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima ni kuwa na Bajeti yenu ya Mwezi mzima as umesema wote nyinyi ni Waajiriwa.

Mfano mna mshahara wa 1,500,000 kwa pamoja then mnaweka mpangilio wa Bajeti yenu kwa kutenga hela za;
  1. Chakula 25%
  2. Kodi 5%
  3. Mavazi 10%
  4. Akiba 35%
  5. Ving'amuzi, vocha
  6. .......n.k
Binafsi natumia njia hiyo, nawe ukipenda unaweza kutumia pia. Kingine namkabidhi hela yote ya matumizi ya mwezi mzima, kwahiyo hatoweza kufanya tofauti.
 
Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.

Mithali 9:13
 
Na yule malaika akaniambia, Kwani kustaajabu? Nitakuambia siri ya mwanamke huyu,πŸ˜‚πŸ˜‚

Ufunuo wa Yohana 17:7
 
Percentage ya chakula ina kila kitu ndani? Bora saving ingekua 25% chakula 40% kodi pia Inategemea ukubwa wa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…