Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Nmegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake nligundua baada yakuchunguza nkamkataza Ila nkachunguza nkagundua bado Wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi isitoshe mke wangu ana mimba ya Miezi miwili ushauri wenu wadau nko juu ya mawe
Ndugu yangu hapo taa nyekundu imewaka cha msingi pia nowadays DNA TEST NAFUU
 
Ameshaipata ndoa hana wasiwasi,na huo ni mwanzo tu wa mapichapicha,utashuhudia mengi sana,ila akishajikuta yuko nje katemwa ndio akili itamrudia,ataanza kukujia akiomba misamaha na machozi juu akidai ilikuwa ni shetani...
 
Unataka tukushauri kitu gani mkuu? Kama hauwezi kumuacha mkeo mwambie huyo x wake ahamie nyumbani kwako awe anakusaidia huduma
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Najua jinsi unavyoumia kwa hayo ayafanyao mke wako. Lakini utapata faraja kubwa kwa kumuomba Mungu wako akuondolea madhila yote yanaiyokabili ndoa yako.
Muombe pia akuepushe na maamuzi mabaya kama ya kutaka kumuua huyo mkeo.
 
Ameshaipata ndoa hana wasiwasi,na huo ni mwanzo tu wa mapichapicha,utashuhudia mengi sana,ila akishajikuta yuko nje katemwa ndio akili itamrudia,ataanza kukujia akiomba misamaha na machozi juu akidai ilikuwa ni shetani...
Wanakuwaga na akili baada ya kuachwa ukosa vyote ex na mume pia.
We uoni wanavyojaa kwa mtume wao,wengi wao wamechezea wenyewe
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
umekwisha boss yani mkeo ana mahusiano ya kimapenz ya ex wake...

kiufupi ulioa mke wa mtu ulitakiwa kujua history ya mkeo au mwanamke unayeishi nae hapo hawali kabla ya kuamua kuishi nae.

ushauri ninaokupa tulia mkeo ajifungue kwanza ndo muzungumze ayo maswala ya kuchepuka now jaribu kuwa na subra kaa kmya
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
This is why I will not get married
 
Gari moja kadi za umiliki halali mbili japo moja ilibatilishwa ila moja ni halali na inadharauliwa.
Miliki peupe amiliki gizanI.
Chagua kugombea AU kuwa mtazamaji.
 
Back
Top Bottom