Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

Ukiwa na mwanamke , akawa ana kucheat we jua mapenzi yao yanaenda kwa ajili wewe upo, hata Leo hii mwanaume ukaanza gonga mke wa mtu we jua unamla sababu Kuna mtu yupo anaempa mahitaji yote yule mwanamke akiachwa hata wewe huwezi kaa nae atakosa mahitaji yake mtaanza gombana
 
Nilishamwagiaga mke wangu nimeacha wote nimekuoa wew kwako ni mwaminifu Sina mchepuko wowote siku nikikufuma hapo hapo red card Mimi sigegedi nje kwanini ugegedwe nje
Hii comment kama vile unameambia uliyemquote
 
Tuanzie kwenye mimba hapo una uhakika ni yakwako kingne kama had umemuoa lakin bad anawasiliana na ex bas fanya utafte wakwako huyo ni mke wa mtu au kaa nae muongee unaweza kupata muafaka ulio mzuri ila kuna maamzi yako binafsi baada ya ushauri
#kataa_ndoa
 
Mwanamke anayekupenda kamwe hawezi kukusaliti. Wala kukupoteza hatapenda.
Huyo hakupendi amka usingizini kaka
 
Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.

Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.
Hii ndio shida ya Hawa Eva wetu....yaani msela kamtumia kitambo akaona amuweke pembeni jamaa umemfanya wife ukamtunza na kumuogesha jamaa limejisogeza Tena daah...na mara nyingi huwa sio rahisi Hawa viumbe kuruka hiki kiunzi Cha ma x.....
Kwa kuwa umegundua kaa naye chini ongea naye kistaarabu akupe msimamo wake kama huko kwa x amepakumbuka na anataka kurudi muache aende kiroho safi vinginevyo ukishupaza shingo utaumia zaidi ingawa naamini Hilo jamaa limemtamani tu kwa kuwa yupo na Wala halina mpango wa kumpeleka popote...kama lilishindwa mwanzo Hadi likaitwa x Kwa sasa halitaweza...akikiri na kujutia muonye na mkanye aachane na huo ujinga na maisha yaendelee....
Huwa wanawahi Sana kuridhika Hawa Wanawake....na wanasahau walikotoka haraka Sana...pole bro
 
Back
Top Bottom