Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Hii comment kama vile unameambia uliyemquoteNilishamwagiaga mke wangu nimeacha wote nimekuoa wew kwako ni mwaminifu Sina mchepuko wowote siku nikikufuma hapo hapo red card Mimi sigegedi nje kwanini ugegedwe nje
Big point nmeielewa hii naichukua km ilivyoUKIONA MWANAMKE HAKUTII, YAAN UNAMKATAZA KITU, HAKUTII WALA HAHESHIMU.
ACHANA NAYE, MFUKUZE ,OA ,OAA, ENDELEA KUOA MPAKA UTAKAPOPATA MWANAMKE WA KUELEWEKA, NA LAZIMA UTAMPATA TU.
Hii ndio shida ya Hawa Eva wetu....yaani msela kamtumia kitambo akaona amuweke pembeni jamaa umemfanya wife ukamtunza na kumuogesha jamaa limejisogeza Tena daah...na mara nyingi huwa sio rahisi Hawa viumbe kuruka hiki kiunzi Cha ma x.....Nimegundua kwamba mke wangu wanawasiliana na ex wake. Niligundua baada ya kuchunguza nikamkataza, Ila nikachunguza nikagundua bado wana mawasiliano mana meseg zinaonekana ni za kimapenzi, isitoshe mke wangu ana mimba ya miezi miwili.
Ushauri wenu wadau, niko juu ya mawe.