Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Cog

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
95
Reaction score
200
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.

=======

Kwa ushauri zaidi soma: Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute
 
Duuh,hizi ndoa hizi.

Mbona haujasema ugomvi umeanzaje?

Mke akupige tu bila SABABU??
 
Ni mara kwa mara tunagombana kwani kuna mtu nawasiliana nae kwenye simu anahisi namahusiano nae ingawa si kweli. Ila hii kutoka ni mara ya kwanza
Kachoka kuishi na wewe
Huyo amepata sababu tu
Usimfatilie wala nn
Akirudi mwwnyewe Haya

Ova
 
Dah ukiwaona wanavyonyenyekea siku ya harusi, hasa wanavyopeleka keki kuwalisha wakwe goti mpaka chini, sasa subiri akusome madhaifu yako apate na waalimu kutoka kwenye vikundi vya hisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sana kwahiyo nivumilie tu maana kuvunja mlango usiku huu ni vigumu
 
Kuna mwamba kule kwenye Uzi wa Rikiboy alikula demu hivi hivi, wamegombana na mumewe mke akatoka nje kwa hasira akamwacha mume ndani

Sasa huyo jamaa mwingine alikuwa anarud kwenye mishe zake akamkuta demu anamawazo hajui hata aende wapi usiku mkubwa jirani akamvuta geto akamtafuna mpaka asbhi Kisha demu akarud kwa mumewe maisha yakaendelea, ila sikutishi mkuu kuwa na amani tu, hatar sana hizi ndoa.
 
Kuna mwamba kule kwenye Uzi wa Rikiboy alikula demu hivi hivi, wamegombana na mumewe mke akatoka nje kwa hasira akamwacha mume ndani Sasa huyo jamaa mwingine alikuwa anarud kwenye mishe zake akamkuta demu anamawazo hajui hata aende wapi usiku mkubwa jirani akamvuta geto akamtafuna mpaka asbhi Kisha demu akarud kwa mumewe maisha yakaendelea, hatar sana hizi ndoa.
Uzi wa rickboy wa kula ki masikhara

Uongo_90%
Ukweli_2%
Kujipakulia minyama_90%
Kuona female ni dhaifu_90%
Kujazana ujinga 80%
 
Kuna mwamba kule kwenye Uzi wa Rikiboy alikula demu hivi hivi, wamegombana na mumewe mke akatoka nje kwa hasira akamwacha mume ndani Sasa huyo jamaa mwingine alikuwa anarud kwenye mishe zake akamkuta demu anamawazo hajui hata aende wapi usiku mkubwa jirani akamvuta geto akamtafuna mpaka asbhi Kisha demu akarud kwa mumewe maisha yakaendelea, hatar sana hizi ndoa.
Duh ndo unanizidisha mawazo kaka
 
Back
Top Bottom