babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Vunja dirisha ondoka waachie vibaka wafanye yao mkose wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza
Unyama sana [emoji16][emoji16]Nawewe ondoka
Anaenda kuchukua petrol huyo! Sali sara yako ya mwisho.Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza
Nakubaliana na wewe hasa hapo kwenye "opportunity cost",mleta mada lazima achague kipi kwakwe ni muhimu.Tafuta namna ya kuwa salama usiku huu.
Kukipambazuka fanya tathmini ya kina juu ya historia na ukubwa wa tatizo Kisha tafuta Tina ya kudumu.
Angalizo: Kila wakati Usiishi maisha ya ndoa kwa kanuni ya "ukimwga mboga, Mimi namwaga ugali".
Kuhusu mawasiliano yako na huyo mdada, angalia "opportunity cost"
Mrejesho nimeamka salalam ile usiku nilimpigia simu jirani yangu alipofika akakuta funguo ameitupa nje hivyo akanifingulia ila mpaka sasa ninavyoandika hajarudi na hapokei simuHuyu mwamba atakuwa ameamka salama kwel?maana bdo hakuna mrejesho kutoka kwake
Pole mwanaume wa dar. Akina mc pilipili.Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Aah!basi kama upo salama mshukuru Mungu..kingine wala usimtafute au kumfuata kwakee...mkaushie tu cz yawezkana ashaona huwez kuish bila yeye...ukipiga kimya ataona kama huyo ambaye unachat nae utampandisha level na kuwa mke mkubwa kitu ambacho hatakubaliana nachoMrejesho nimeamka salalam ile usiku nilimpigia simu jirani yangu alipofika akakuta funguo ameitupa nje hivyo akanifingulia ila mpaka sasa ninavyoandika hajarudi na hapokei simu
Uchukue juice si mpaka iwepo, kuna kufunua mfuniko wa ndoo na kuchota maji ya kunywa pia.Sema hiyo mahabusu nzuri unaenda kwenye fridge unachukua juice unakunywa unaingia jf kama kawa safi ila in short huyo si wa kufanya nae maisha anaweza akakuletea msala anytime, kukufungia ndani it means kachukua Uhuru wako
Madam......We muache akimbilie Jf soon atakuwa majivu na usiku huu