Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

Kunywa maji halafu urudie kusoma Tena Uzi upya.
Amenifungia ndani na kaondoka mpaka mchana huu hajaonekana na hapokei simu yeyote. Kila ninauemuomba ushauri anasema nitulie ataridi mwenyewe
 
Tuliza presha mkeo niko nae huku buza kwa mama kibonge, anasema atakaa kwangu mpk jumapili ili hasira zake ziishe kabisa halafu jumatatu atarudi nyumbani, hivyo kua na amani mkeo yupo kwenye mikono salama.
 
watakwambia kama ameondoka mwenyewe muache usimfate… hapa wanakudanganya

kitendo cha kumuacha nq ma stress aliyonayo anapata mwanya wa eidha kuanza mahusiqno na mtu mwingine au kuliwa kimasihara

usisahau mwanamke akipata baharia akamkula vzr huwa haachi

na hili utakuwa umesababisha wewe

usikilize moyo wako, mke ni wa kwako na si wa jf
Kwani na yeye hawwz kutafuta mwanamke Mwingine akamkula vizuri? Wanawake ni wengi sana duniani

Sheria ni moja tu mwanamke akiondoka mwenyewe nyumban na hujamfukuza usimfate tumia watu baki kufatilia ili kujiridhisha kama kafika kwao na Kama Yuko kwao na wazazi wake wamampokea bila kuwasiliana na wewe achana nae na muda ukienda sana usimrudie
 
Liverpool VPN , Njoo toa ushauri huku.
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
 
Kama hua ana route za go and return..muache atarudi tu
 
Mke anakupigaje mkuu!!!!!![emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Swali Kwanza: Una mda gani toka umuoe Mkuu? Uzoefu wako kwenye ndoa/kuishi na mwanamke unaonekana bado mchanga sana!
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Yani usijaribu kumfata Wala kumtafuta.....tena na hata kwao usipige sim.....sis wanawake Kuna muda hua tunapania kufanya kitu kwa kukomoa.....

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Amekimbilia huku kwangu mkuu. Nataka nimrudishe ila hataki kunielekeza vizuri nyumbani ni wapi ili nimlete.
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Wewe ondoka rudi baada ya mwaka,yani mwanaume unatishwa nyau unahaha
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Kishaenda kwa basha lake, usikute yuko hapo hapo mtaani kwenu anakucheka tu unavyohaha.
 
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.

Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Kaenda kwa bodaboda hapo jirani
 
Wanaume Wenzangu, Nyege zetu zisitufanye tuone Kuoa ni jambo rahisi. Tuoe ikiwa Akili imekomaa.
 
Kama unabuwezo wa kukaa kimya basi fanya hivyo!

Heshima ninayopewa sasa hivi ipo juu sana, kuliko mwanzo nilivyokuwa namtafuta pindi tumegombana
 
Back
Top Bottom