Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kama mnaugomvi wa mara kwa mara, basi hapo hakuna ndoa maana ndani hamna amani na mwisho mtaachana.Ni mara kwa mara tunagombana kwani kuna mtu nawasiliana nae kwenye simu anahisi namahusiano nae ingawa si kweli. Ila hii kutoka ni mara ya kwanza
Ndio ni yanguMadam......
Hivyo Avatar ni yako ??
😋😋😋
#YNWA
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Akienda kwao usimfuate.
Taikon 12:1-24
Kama mkeo hapendi hayo mawasiliono Yana umuhimu wowote kuendelea nayo?Ni mara kwa mara tunagombana kwani kuna mtu nawasiliana nae kwenye simu anahisi namahusiano nae ingawa si kweli. Ila hii kutoka ni mara ya kwanza
HahaaMods mtuanzishie jukwaa la wanaume.
Watu wa kaliba ya kama mtoa maada tusiwahi kuwaona kwenye hilo jukwaa.
Usishangae kaenda kuliwa kwa mtu aliyemkataa alifikir wewe anakukomoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Toa kichwa gizani Anza kuita kwa sauti 😁😁.Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta. Naombeni ushauri niuchune tu mpaka asubuhi au nipigie simu ndugu zake kuwaeleza.
Hili tunaweza wajasiri,lakini unakuta mtu anasema nampenda fulani kwa sababu anakata mauno unategemea anaweza fanya huu ushauri?Huna namba ya kiongozi wa mtaa? Fanya utoke ndani humo.
Hakikisha akirudi hapo asikukute, ukimkuta mrudishe nyumbani akapumzike akili ikae sawa.
Anakupima jeuri, kuna siku atatoka hapo usiku atakimbilia kwa njemba.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kuna kaukweli kwenye maelezo yako.Uzi wa rickboy wa kula ki masikhara
Uongo_90%
Ukweli_2%
Kujipakulia minyama_90%
Kuona female ni dhaifu_90%
Kujazana ujinga 80%