Ameen! HaleluyaaaaNdivyo wanawake tulivyo. Lile swali lake lilikua linauliza kinyume. Alimaanisha natamani nisafiri nije huko ila ndo akaandika vile akitegemea utamwambia njoo huku mpnz ila ulivyojibu vile tayari kichwa chake kimebeba picha nyingine. Kweli mlipoambiwa muishi na sisi kwa akili, including these shits. We are not always straight
Yah ukiijua hyo formula baasii. Ndo wanaume wengine utasikia acha kuzunguka zunguka nshakuelewamimi huo ujinga ndio huwa siuelewi, yaani unataka D, lakini unanzia A , B ukitegemea mimi nijue kuwa unataka D?
Hakuna cha kukufanya ufe apo labda tu kama una kiherehere cha kutaka kufa, kakutext anatamani kusafiri ila hana pa kwenda! Alimaanisha wewe umruhusu aje huko ulipo badala yake we ukajibu mafyongoo😏
Sababu ya kumuua ni kwambaa ANAMPENDA MNOOO😝
Walahi labda awe na sababu nyingine hili si la kumuua
Empty head! Ukoo wenu wote mna elimu ya sekondari na chuo kikuu?
La saba pia ni binadamu kama degree, masters, n PhD holders tumetofautiana kukaa darasan na kusoma mavitabu meeengi
Maana ake alimaanisha ana nyege anahitaji kutombwer.Hakuna cha kukufanya ufe apo labda tu kama una kiherehere cha kutaka kufa, kakutext anatamani kusafiri ila hana pa kwenda! Alimaanisha wewe umruhusu aje huko ulipo badala yake we ukajibu mafyongoo[emoji57]
Wala sio kichwa maji.Maana ake alimaanisha ana nyege anahitaji kutombwer.
Sasa mtoa mada Sijui kichwa Maji?
Kushindwa Kabisa kung'amua Hilo.
😉Asikufe, ukipenda boga ujue kulila..Sababu ya kumuua ni kwambaa ANAMPENDA MNOOO
Mwenzie kamtega aone response yake ktk hilo ye anamwelekeza kusafiri sjui kwenda wapi😝
Walahi labda awe na sababu nyingine hili si la kumuua
Gray, means not white and not black[emoji2].Wala sio kichwa maji.
Sisi wanawake tunaweza kukupa hint tu ya tunachokitaka wakati wanaume wanapenda straightforwardness
Black is black and white is white sasa sisi tunapenda kutembelea gray.
Pole yako dear...kama unahisi imeniuma...ukipiga hatua flani mwenzio hajapiga sio kumnanga naye ni binadamu na ukute kakuzidi vingi tu na degree yako or whatever....sio kama sina elimu unayofikiria we unayo na ukute hata kusoma kwako umebebwa na vyuo vya private wenye kuchukuaga ata three za 17....poovuuu imekuuma jipe dok
Mkuu,Ukitaka kumuweza kaa kimya acha ahangaike yeye.
Wanawake tuna tabia mbovu ya kuwapa stress wenzetu na hasa tukijua tunapendwa na wana mipango na sisi.
Jikaze kabisa usimtext wala usimpigie uone atanyooka mwenyewe. The last thing you need right now ni stress na manipulation wakati hawezi kukuacha miaka 3 ni mingi na ndoa anaitaka sana.
mmekutana wote ni watoto sasa inakuwa ngumu kuwashauri.....Videmu vinavyoandika miandiko kama hiyo huwa vinagongwa mfululizo ..ili ustukie lazima uwe mhenga kwanzamwandiko wa la saba.
Sisi ni binaadamu na wala sio mbuzi ama kuku kwamba nyege zikitupanda hapo hapo tunapandwa na yeyote.Mkuu,
Uyu mwanamke ana nyege.
Mshkaji akizembea kuchapiwa Ni nje nje.
Mwanamke akiwa na stress anaweza kuchukua maamuz yake anayoyajua mwenyewe afu baadae akaja kuregret kwa maamuz yake Ayo Ayo.
Jamaa anapaswa kutumia Akili kuresolve hili suala.