Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.

Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.

Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.

Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.

So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.

Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.

Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.

Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.

Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"

Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.

Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.

Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.

Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!

Sorry, kwa uandishi mbaya.
Vipi kuhusu Mambo mengine Kama kupika,kukufulia....siku ya Kwanza unakula mzigo ulimpigaje sound?
 
Kuna uzi uliletwa humu kwamba wanawake hawana content! Sasa sipati picha ukishamuoa, siku akianza kununa humo ndani itakuwaje!
 
Na akiwa muongeaji utalalamika anaupepeta mnoo
 
Badilika style ya maisha yako , ila me nnae kama huyo lakin saiv anaongea normal 2 , just ni jambo la mda uscheke cheke sana usiongee sana afu kua straight yan mchane nigga hufagilii vyenye alivyo , mood swings ,
 
Nikajua nipo peke yangu.....

Mpaka mawifi zake kulalamika ......
Nikawaambia mumzoee tu.....yupo hivyo Toka nakutana nae mpk mnavyomuona.....
 
Dah ungenipata mimi nadhani ungejuta tena yaani hata ukiwa kazini napiga simu nakupa umbea
 
Muache,ila mtengenezee mazingira yakukuzoea zaidi hakuna haja yakumuacha kisa mkimya,utakutana na mwenye makelele utaanza kulia tena kama king’ora cha ambulance,huyo ndio mke sasa
 
Huyo ni introvert then itakuwa haupo smart Sana upstairs that is way unamboa

Mimi ni introvert Ila naboreka Sana kukuta MTU anaongea the same story ambazo hazina positivity.

Watu introvert A.K.A Wazee wa monology hupendelea kusikia mambo chanya

Huyo mwanamke itakuwa kakuzidi AKILI
Sio atakua ni reality kamzidi
 
Back
Top Bottom