Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Mtoa mada anagoma kabisa kujibu hapa! Eti we Long trip mbona hujibu hapa? Jibu upewe msaada! EbooVipi kwenye sita kwa sita anamiguno kasuku au pia ni mwendo wa mikaushoo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anagoma kabisa kujibu hapa! Eti we Long trip mbona hujibu hapa? Jibu upewe msaada! EbooVipi kwenye sita kwa sita anamiguno kasuku au pia ni mwendo wa mikaushoo!
Sio kiroporopo bali mtu wanaeweza wakapiga story, wakataniana, wakacheka na kufurahi.
Weka picha mkuuKwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.
Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.
Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.
Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.
So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.
Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.
Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.
Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"
Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.
Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.
Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.
Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!
Sorry, kwa uandishi mbaya.
SIku ukikutana nae hakikisha unaazima simu yake ili uhakikishe kama ajainstall app ya jamii forumsKwema wakuu??

Jamaa anataka wanawake type za kina Gigy Money.Huyo ni introvert then itakuwa haupo smart Sana upstairs that is way unamboa
Mimi ni introvert Ila naboreka Sana kukuta MTU anaongea the same story ambazo hazina positivity.
Watu introvert A.K.A Wazee wa monology hupendelea kusikia mambo chanya
Huyo mwanamke itakuwa kakuzidi AKILI
Kama ashaboko 😁😁Jamaa anataka wanawake type za kina Gigy Money.
Yani jamaa anataka wale wanawake full Mapepe akianza stori ni rrrrhhrrrrh kama cherehani...
Huyu anafaa atafute mzaramo wa pwani au binti za Tanga.Kama ashaboko 😁😁
Hapana bwana! Someone he can make conversations with, na sio someone he can argue with.Kwenye uhusiano kutaniana ,kucheka yapo ila anayetaka yeye ni yule Lopolopo ,mguu nje mguu ndani asubuhi kanga moja kwa jirani mistory yaani WALU WALU aka MPECHE MPECHE.
JINI HILOKwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.
Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.
Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.
Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.
So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.
Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.
Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.
Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"
Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.
Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.
Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.
Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!
Sorry, kwa uandishi mbaya.
Hii "comment" ipewe tuzo jamani. Kwangu ni "Comment" bora kabisa.Usimlazimishe mtu kubadilika. Umekiri ulimkuta hivyo, ukampenda hivyo hivyo mpaka ukamtia na mimba. Bado yuko hivyo na bila shaka ataendelea kuwa hivyo. Nilitegemea, hata hivyo, kwamba baada ya kukuzoea kidogo angeanza kufunguka kwako maana mtu hata awe mkimya namna gani lazima kuna mtu (au watu) ambao amewazoea ambao ukimkuta anapiga nao stori mpaka unaweza kushangaa kama ni yeye kweli. Kama siyo wewe mwandani wake, ni nani sasa? Labda kama wewe ni kauzu yaani siriazi 24/7 na ameshindwa kukuzoea. Au tu basi personality zenu hazisomani utafikiri mfumo wa TPA na TRA... yaani ni zero emotional connection!
Basi kaa naye. Mwambie kuwa wewe ni rafiki na mshikaji wake na asikuogope. Na kwamba unatamani sana muwe na emotional connection kama inawezekana. Muwe mnashirikishana mapito yenu kama wenza, wazazi na marafiki. Kwamba uko msikivu...and you care. Na umaanishe na umuonyeshe kwa vitendo. Be available to her emotionally!
Maana usikute binti wa watu ana trauma za utotoni huko (na kwingineko); na alishajikalia kimya mazima hajali kitu tena. Ni ile mtu kuumizwa mpaka moyo ukapondeka kabisa kabisa. Mpeleke kwa therapist wakaongee huko kuhusu chanzo cha tatizo hilo na akiweza kufunguka huko unaweza kushangaa mpaka utakuja hapa kufungua uzi ukiomba ushauri kuwa mke wako anaongea sana!
➡️➡️➡️ Na please usituletee singo maza mwingine huku mtaani maana tulionao wanatosha. Tafuteni suluhisho la tatizo hilo pamoja huku mkiwa katika ndoa. Kama mnapendana kwa dhati mtatoboa tu🙏🏿
Miaka 22,huyo bado anatafakari,haamini kama kesha kuwa mama tayari...Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.
Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.
Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.
Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.
So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.
Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.
Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.
Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"
Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.
Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.
Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.
Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!
Sorry, kwa uandishi mbaya.
Ushauri Mzuri sana Mkuu...Usimlazimishe mtu kubadilika. Umekiri ulimkuta hivyo, ukampenda hivyo hivyo mpaka ukamtia na mimba. Bado yuko hivyo na bila shaka ataendelea kuwa hivyo. Nilitegemea, hata hivyo, kwamba baada ya kukuzoea kidogo angeanza kufunguka kwako maana mtu hata awe mkimya namna gani lazima kuna mtu (au watu) ambao amewazoea ambao ukimkuta anapiga nao stori mpaka unaweza kushangaa kama ni yeye kweli. Kama siyo wewe mwandani wake, ni nani sasa? Labda kama wewe ni kauzu full mfumo dume yaani siriazi 24/7 na ameshindwa kukuzoea. Au tu basi personality zenu hazisomani utafikiri mfumo wa TPA na TRA... yaani ni zero emotional connection!
Basi kaa naye. Mwambie kuwa wewe ni rafiki na mshikaji wake na asikuogope. Na kwamba unatamani sana muwe na emotional connection kama inawezekana. Muwe mnashirikishana mapito yenu kama wenza, wazazi na marafiki. Kwamba uko msikivu...and you care. Na umaanishe na umuonyeshe kwa vitendo. Be available to her emotionally!
Maana usikute binti wa watu ana trauma za utotoni huko (na kwingineko); na alishaamua kujikalia kimya mazima hajali kitu tena. Ni ile mtu kuumizwa mpaka moyo ukapondeka kabisa kabisa. Mpeleke kwa therapist wakaongee huko kuhusu chanzo cha tatizo hilo na akiweza kufunguka huko akatua mzigo alionao unaweza kushangaa mpaka utakuja hapa kufungua uzi ukiomba ushauri kuwa mke wako anaongea sana!
➡️➡️➡️ Na please usituletee singo maza mwingine huku mtaani maana tulionao wanatosha. Tafuteni suluhisho la tatizo hilo pamoja huku mkiwa katika ndoa. Kama mnapendana kwa dhati mtatoboa tu🙏🏿
Hii "comment" ipewe tuzo jamani. Kwangu ni "Comment" bora kabisa.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤️Ushauri Mzuri sana Mkuu...
Appreciate 👍✊
Kwamba jamaa ni chiriku pyua eeeh!? Lakini si ana vipointi pointi angalau kwenye huo uchiriku wake au ni wale anaongea tu yaani ni pumba mwanzo mwisho halafu kila topiki anaijua? Yaani hata akikuta akina Kiranga wanaongelea Relativity na Black Holes; na hana hata fununu lakini ni lazima achangie....Kaka 😅
Ukimpata chiriku kama mimi utakuja badili narration hapa kuwa “Mpenzi wangu anaongea sana wakuu mimi nimemchoka”!
😂
Anyway… kila kitu kikizidi ni sumu. Tulia hapo mlee mtoto.