realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
๐ ๐ ๐ ๐Chepuka ajue ndio uje utuambie ni mkimya au vipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐Chepuka ajue ndio uje utuambie ni mkimya au vipi.
๐ ๐Punguza nyege mkuu , huyo ndo mke , hata nje hana umbea , wakwangu utadhani kuna kikombe anashindania cha zoga.
Mara anambie jirani alifanya hiki ,Ohhh flani kashikwa wapi !!!!yaani sometimes nataka nimwambie nyamaza sema naona ataumia siunjua ke zao .
Huyo komaa naye utaja jua mbeleni kizuri wao hao wakimya.
๐ ๐ ๐Anataka kuoa Mashine ya kuongea๐คฃ
๐ ๐ ๐ FMUmenikumbusha kitu kipindi niko na mpenzi wangu wa utotoni, kila mara yy ndio alikuwa anaomba game mimi nilikuwa nampenda ila sio kwa sex.!! Nilikuwa sitaki kabisaa.!!
Nafanya kwa kumlizisha yy, siku alivyosafiri akakaa muda mrefu alivyorudi sijui ndio mishipa ya nyege ilizibuka nilimuomba alishangaa sana.!! Akawa ananiuliza mara mbili mbili.
Mi nadhani mpe muda huyo ni wife material lasivyo utadondokea kwa wasafi fm
Asubuhi MICHEZO
Mchana UMBEA
Usiku STORY ZA KUNYEGEZANA
๐ ๐Usimlazimishe mtu kubadilika. Umekiri ulimkuta hivyo, ukampenda hivyo hivyo mpaka ukamtia na mimba. Bado yuko hivyo na bila shaka ataendelea kuwa hivyo. Nilitegemea, hata hivyo, kwamba baada ya kukuzoea kidogo angeanza kufunguka kwako maana mtu hata awe mkimya namna gani lazima kuna mtu (au watu) ambao amewazoea ambao ukimkuta anapiga nao stori mpaka unaweza kushangaa kama ni yeye kweli. Kama siyo wewe mwandani wake, ni nani sasa? Labda kama wewe ni kauzu yaani siriazi 24/7 na ameshindwa kukuzoea. Au tu basi personality zenu hazisomani utafikiri mfumo wa TPA na TRA... yaani ni zero emotional connection!
Basi kaa naye. Mwambie kuwa wewe ni rafiki na mshikaji wake na asikuogope. Na kwamba unatamani sana muwe na emotional connection kama inawezekana. Muwe mnashirikishana mapito yenu kama wenza, wazazi na marafiki. Kwamba uko msikivu...and you care. Na umaanishe na umuonyeshe kwa vitendo.
Maana usikute binti wa watu ana trauma za utotoni huko (na kwingineko); na alishajikalia kimya mazima hajali kitu tena. Ni ile mtu kuumizwa mpaka moyo ukapondeka kabisa kabisa. Mpeleke kwa therapist wakaongee huko kuhusu chanzo cha tatizo hilo na akiweza kufunguka huko unaweza kushangaa mpaka utakuja hapa kufungua uzi ukiomba ushauri kuwa mke wako anaongea sana!
โก๏ธโก๏ธโก๏ธ Na please usituletee singo maza mwingine huku mtaani maana tulionao wanatosha. Tafuteni suluhisho la tatizo hilo pamoja huku mkiwa katika ndoa. Kama mnapendana kwa dhati mtatoboa tu๐๐ฟ
Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10.
Nilitaka kuhoji hili. Kama wakati wa kumpa dyudyu bado hana ushirikiano walau maneno kidogo, appreciation kidogo, mahaba kidogo...kazi ipo!Wakati mnachakatana huwa mkimya hivyo pia??
Heeeh jamani!!!Ila bora huyo kuliko hizi piano zetu!
na unaweza tafuta namna nzuri ya kumshirikisha akajua una mipango gani ,Kwani si anakupa dudu?
Mwanamke wa hivyo anataka wewe ndiye umuongoze, uwe unampa taarifa tu ya maamuzi na mipango uliyopanga...