Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

Huyo anafanana na huyu wangu. Nataka nimuache ila namuonea huruma hivi. Katoto ka watu kapole kakimya halafu ni kayatima, zazazi wake walikufa same year. Kila ninachokaambia kanafata. usipokatafuta fresh hata kahalalamiki. Ukikapigia simu wewe ndo uongee tu, kazi yake kucheka na kuguna...
Hatari mkuu, sometimes had nahisi au najipendekeza duuh.
 
Hebu nipe namba yake nimkanye asikutese buremtoto wa mwanamke mwenzie
 
Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.

Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.

Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.

Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.

So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.

Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.

Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.

Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.

Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"

Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.

Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.

Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.

Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!

Sorry, kwa uandishi mbaya.
Ndugu yangu mimi nilikuwa na mwanamke wa jinsi hiyo mpaka nikawa nakwambia ndugu zangu anisaidie kumchunga chanzo cha kimya ule hawa kuweza. Baada ya miaka 20 tu kapata watoto 2, alichonifanyia kilinitia uchizi! Kumbe alikuwa mchawi wa kiwango cha lami, pamoja na kufunguliwa biashara duka ya duka na kununulia gari, lakini alianza kwa siri kunipiga utamaduni ili niondoke kabla ya muda. Mungu aliniokoa kwenye dakika za mwisho na ndoa ili vunjwa na Mahakama. OGOPA WANAWAKE WAKIMYA NI WACHAWI WANA MAAGANO ATAKUTOA KAFARA!
 
Vipi kwenye sita kwa sita anamiguno kasuku au pia ni mwendo wa mikaushoo!
Watu wa hivi ni wasanii na atakupa mpaka unapiga ukunga! Ni wachawi na washirikina mwisho wa siku wanakutoa KAFARA uchawi wake uzidi kustawi! Siku nyingine a naondoka ana kuachia dude jingine utalipelekea moto kumbe yeye kaenda kwenye mchezo yao ya usiku!
 
Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.

Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.

Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.

Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.

So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.

Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.

Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.

Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.

Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"

Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.

Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.

Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.

Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!

Sorry, kwa uandishi mbaya.
Kimsingi huyo ndio WIFE MATERIAL.

Kinyume na hapo wewe itakuwa una makando kando hujaandika tu hapa, pengine una makosa kadhaa uliwahi kumfanyia.
 
Huyo ni introvert then itakuwa haupo Sana upstairs that is way unamboa

Mimi ni introvert Ila naboreka Sana kukuta MTU anaongea the same story ambazo hazina positivity.

Watu introvert A.K.A Wazee wa monology hupendelea kusikia mambo chanya

Huyo mwanamke itakuwa kakuzidi AKILI
Introvert huwa hajali hisia za wengine?? Maana binti anausaga moyo wa kijana.
 
Oya muoe huyo ushampga mtoto unataka umuache kama vipi muendee kwa mganga achangamke lakini usimuache.
 
Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn nmeanza kupoteza feelings nae kabisa Japo nshatoa Nusu ya Mahari.

Hadi kufikia umri huu, nimeshapitia mahusiano mengi sana tofauti tofauti. Lakn sijawahi experience ukimya wa mwanamke kama huu. Yaan kama ni Introvert, basi huyu ni Super introvert wakuu.

Wakati ndo namtongoza nlijua labda analinga tu kwakuwa bado hajanielewa ndo maana hanichangamkii, lakni hata aliponikubalia tukaanza mahusiano nikaona hali ileile tena sometimes unaona kama imezidi kabisa.

Unatuma Messages zinajibiwa short and clear. Ukimtoa out hana cha kuongea labda mimi ndo nianzishe story napenyewe atakuwa na majibu yake mafupi tu, "Mmmh sawa", "Aaanh kumbe" "Sawa" Yaani no matter umeanzisha story gani hauwezi kukamata Attention yake akafanya muongee mda mrefu.

So, ilibidi nimtafte rafiki yake wa karibu kujua kama ana tatizo lilimtokea kumpelekea awe stressed mda wote, lakn rafiki ake akasema huyo ndo wa hvohvo.

Kwakuwa nlikuwa naplan kumuoa nkaona nimvumilie May be ata change baadae, maana mahusiano ni zaidi ya kusex kuna kushauriana pia. Nlivyoona hali bado ileile nikaanza kujiandaa kumpiga chini. Boom akanambia haoni siku zake kumbe ana pregnant tayari.

Kwasasa nmepata kazi mbali kidogo na anapoishi yeye, ni mikoa tofauti tofauti. Sometimes nammiss hata tuongee lakn nkipiga simu basi mi ndo niwe naongea yeye anajibu. Kwahyo mimi vitu vya kumuuliza vikiiisha na story zmeishia hapo.

Tukichat utadhani nachati na Computer! Kilasiku meseji hazizidi 10. Na chatting zetu ni fixed (Yaani zilezile Kilasiku). Nakaa miezi miwili sijaonana nae lakn siku nikienda kusalimia hom atasema kanimiss tuonane, tukionana mimi ndo niongee otherwise tutakaa kimya hata masaa mawili kama Ma bodyguard.

Nikijaribu hata kuomba ushauri, ujue jibu ni kwamba "Kwani we unaonaje"

Mi najua wanawake wana tabia za kusimulia umbea mara kwa mara lakn huyu sijawahi sikia hizo mambo.

Kunasiku Ex wangu alimfata Baby mama kumuumiza roho kwamba bado sijaachana nae. Lakn hakunambia wala nini yaani nliskiaga tu kwa watu ndo nkamuuliza akasema ni kweli. Nkajiuliza why hakunambia ? Kwasasa nipo mbali tunakaa hata mwezi bila kuongea kwa simu zaidi ya kuchati kidogo tu, but she doesn't care.

Huyu binti ni Mrembo sana wakuu, lakn nataka kuisamehe hata hiyo mahari nliyotanguliza kwao asee, maana sasa sienjoy kabisa huu uhusiano. Naona kama sipendwi hivi, lakn kuna mda nikiqngalia maisha ya kwao yalivyo magumu natamani kumuoa lakini sasa namuoaje mtu mkimya hivi ? Ilifika moment akinambia tuonane kanimiss ,basi namwambia nipo mbali kidogo maana mkionana hadi aibu, yaan hana cha kuongea.

Ushauri wakuu, kwa wenye experience na wanawake wa hivi. Mi nataka kughairi kumuoa maana hata hisia zimekata sasa. Lakn sometimes naona au nimuoe tu!

Sorry, kwa uandishi mbaya.
Huyo ni muuwaji mkubwa achana nae hapo kuna mawili 1.anakuonea huruma mtoto sio wako au anaugonjwa 'sikosel' au kuna mtu anamkula hasa sasa ukijua kuna ishu MFUKUZE AENDE KWAO UMENIELEWA
 
Introvert huwa hajali hisia za wengine?? Maana binti anausaga moyo wa kijana.

Wanajali isipokuwa introvert huwa hawatoi attention pia akijua wewe ni attention seeker anaamua kukumoa makusudi kwa kukunyima attention.

Ili umkoshe introvert jitahidi uwe na positivity stuffs za Ku-share naye hapo utaipata attention yake.

Introvert means -thinkers so if ur not a big thinker you cannot match with them easily.
 
Huyo binti sio introvert mkuu.
Yaani mpenzi wako awe attention seeker kwako.. kivipi yaani.

Uintrovert ni kuact kama roboti??
Mpaka mnapata mtoto, hata kujadili maendeleo ya mtoto wenu bado ulete uintrovert.

Binti atakua na mtatizo tu labda huko nyuma kuna vitu alifanyiwa vimemfanya asiwe muongeaji.
 
Unajua hapa JF watu hutoa story zinazolenga upande wao.

Mtu kuwa mkimya Sana inaweza kutokana na malezi pia.

Mtoa mada amesema ananyimwa attention na huyo mchumba wake.
 
Wewe mwambie Mungu wako unataka ninina atakupa...amekupa Silencer gun unataka Loud gun.

Some times ingia chumbani jifungie mwambie Mungu wako unataka akupe nini...Na Mungu atakuletea......

Kilicho kuja kama bahati ni silecer hakikufurahishi...wewe mwambie Mungu aombac king'ora.......anavig'ora vingi atakuzawadiaaaaa!
 
Usimlazimishe mtu kubadilika. Umekiri ulimkuta hivyo, ukampenda hivyo hivyo mpaka ukamtia na mimba. Bado yuko hivyo na bila shaka ataendelea kuwa hivyo. Nilitegemea, hata hivyo, kwamba baada ya kukuzoea kidogo angeanza kufunguka kwako maana mtu hata awe mkimya namna gani lazima kuna mtu (au watu) ambao amewazoea ambao ukimkuta anapiga nao stori mpaka unaweza kushangaa kama ni yeye kweli. Kama siyo wewe mwandani wake, ni nani sasa? Labda kama wewe ni kauzu yaani siriazi 24/7 na ameshindwa kukuzoea. Au tu basi personality zenu hazisomani utafikiri mfumo wa TPA na TRA... yaani ni zero emotional connection!

Basi kaa naye. Mwambie kuwa wewe ni rafiki na mshikaji wake na asikuogope. Na kwamba unatamani sana muwe na emotional connection kama inawezekana. Muwe mnashirikishana mapito yenu kama wenza, wazazi na marafiki. Kwamba uko msikivu...and you care. Na umaanishe na umuonyeshe kwa vitendo.

Maana usikute binti wa watu ana trauma za utotoni huko (na kwingineko); na alishajikalia kimya mazima hajali kitu tena. Ni ile mtu kuumizwa mpaka moyo ukapondeka kabisa kabisa. Mpeleke kwa therapist wakaongee huko kuhusu chanzo cha tatizo hilo na akiweza kufunguka huko unaweza kushangaa mpaka utakuja hapa kufungua uzi ukiomba ushauri kuwa mke wako anaongea sana!

➡️➡️➡️ Na please usituletee singo maza mwingine huku mtaani maana tulionao wanatosha. Tafuteni suluhisho la tatizo hilo pamoja huku mkiwa katika ndoa. Kama mnapendana kwa dhati mtatoboa tu🙏🏿
Hakuna mwanamke bomba kama mwanamke asieongea ovyo
 
Back
Top Bottom