Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

ktroshaban

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
42
Reaction score
95
Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza.

Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena jirani. Wakati mimi ndio niliemtumia nauli kutoka Mwanza Kirumba mapaka Dar.

Hapa nina homa ya mapenzi juu yake, mawazo hayaniishi juu yake, nikimuwazia arudi. Kiukweli hali yangu sio nzuri juu ya upendo kwa huyo mchumba wangu. Kwa kifupi naumwa na sifanyi mambo namuwaza tu yeye.


 
Blaza una sh ngapi kwenye acc yako? Tafuta pesa mze ukichanganya wivu na umaskini utateseka sana, nilichoelewa hapo inayokuuma ni nauli uliyotuma.
Sio kila kitu ni kuhusu "pesa" Aladeen04. Kuna wakati sio hata pesa inaweza kuokoa mahusiano yako.

Mimi nimwelewa OP. Haumii kwa ajili ya pesa ila anaumia kwa sababu amemsogeza karibu ili aishi nae lakini mnufaikaji ni mwingine. Lakini kikubwa bado anampenda huyo mpenzi wake.
 
KINACHONIUMA SIO PESA JAMN
NI HAYA MAWAZO NILONAYO JUU YAKEE JMN
SIFANYI MAMBO YANGU
NAMUWAZA YEYE KILA WAKATII
MPKA NAUMWA HV ˢᴬˢᴬ

ᴷʷᵃ ᵃˡⁱʸᵉʷᵃʰⁱ ᵏᵘᵗᵉⁿᵈʷᵃ ⁿᵃ ᵏᵘᵖⁱᵗⁱᵃ ʰᵃˡⁱ ᵏᵃᵐ ʸᵃⁿᵍᵘ ⁿᵃᵈʰᵃⁿⁱ ᵏᵃⁿⁱᵉˡᵉʷᵃ
ᴺᵈᵒ ⁿᵃᵒᵐᵇᵃ anishauri[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Uko sahihi Paula Paul unadhani huyo binti angeenda kwa huyo jamaa mwingine kama jamaa angeweza kumuaccomodate?
 
Kamsogezea fisi windo 😂😂😂
 
Mkuu pole sana kwa unachokipitia lakini naomba nikueleze vitu vichache Sana, moja njia ya kwanza ya kutatua tatizo ni kulikubali, Ninachoamini kama huyo mwanamke angekuwa na upendo wa dhati kwako asingeondoka kwako, hivyo kwa tafsiri sahihi ameku underrate wewe sio type yake na kuendelee kumfikiria whether arudi ni kujitengenezea maumivu baadae makubwa, kubali utulize akili, Mungu akuvushe utapata wa kwako
 
You are a always on point big up [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo uliyemjibu ndiyo wale Migomba yaani hawezi kutumia ubongo wake
 
Never trust a woman bro,they are scam,wachache Sana wanaojielewa,Yupo Mungu bro yeye atafanya we tulia,majuto mjukuu,na usitafakari vyote ulivyomtendea kwamba ulikosea hapana,wewe ulitimiza wajibu wako awake,be at peace bro then acha Mungu atafanya kazi yake
 
Fanya masturbate... Utabishukuru baadae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…