Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

Sio kila tunaowapenda wanatupenda sio lazima, cha msingi tazama anaekupenda nawe mpende hilo tu, usilazimishe mapenzi kwa mtu asie na muda nawe utaishia kuteseka tu, mapenzi yanatesa sana next time jifunze kupenda kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliofanya masturbate ujanani.. Huwa mara nying hatuumizwi na mapenz.. Japo sio nzuri lakn inakupa cofidence ya kutokuwa na uzuni unapokosa mke au mchumba..
 

Yaani unaumizwa na mpenzi? Mademu kibao wazuri unaangaika na huyo mmoja? Ana mashine ya Dhahabu ya kuminyia ndani? Acha uboya wewe tafuta pesa,jiweke busy kutafuta pesa.
 
Mwanaume unatakiwa kuwa mkakamavu, mapenzi ya kulia tuachie dada zetu, wewe pambana na mambo mengine jikaze kiume man acha kuwa legelege chali angu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AISEEE WENGI MMENISHAURI VIZUR SANA
NIMEKUWA NA MOYO KIDOGO
LAKIN NAOMBA MJUE TU "KUMBE MAPENZI MAUMIVU YAKE SIO MCHEZO"
 
Mama kwanza hata huyo OP jinsi anaandika anaonekana hayuko serious, wacha mwana ajilie alivyoletewa mezani.
 
Mkuu umepaniki tu bure mpaka home imempanda. Ameenda tu kwa mjombaake kumsalimia hawajaonana siku nyingi ok? Pona kwanza Mkuu atakuja na utafidia nauli Yako. Sawa?

Homa imempanda Mkuu maskini ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขmpaka haelewi aandike caps, aandike small letters, mwisho akatuchanganyia tu vyote anachotaka yeye ni tuelewe tu hali yake sasa hivi.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Alishakuwa na uhakika weekend hii mambo bien.
 
Weka sababu ya kukuacha na kwenda kwa jamaa
 
Lete namba yake
 
MBONA MASIHALA NA MATANI MENGI[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
UPUMBAVU NDO SITAKI
SIJAOMBA USHAURI WA KUNIKEBEHI HAPA[emoji1785][emoji1785][emoji1785]
 
Tafuta pesa wewe huna hela ndio maana umeachwa,punguza kulia lia
 


Hile mambo achana nayo huwa akili inaruka kabisa ukiikosa , unapokua na ahadi halafu ahadi ikazingua huwa inakua hatari sana, kutibu unatakiwa uamke ukanywe gambe tu kupapooza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta pesa wewe huna hela ndio maana umeachwa,punguza kulia lia
SINA PESA WAKATI ALIKUWA ANAENDA SALOON KILA WEEK
Chipx kuku almost kila siku
Na mengine huyajua sasa kwa taarifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ