Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

Mbona mimi nimeumizwa zaidi ya mara moja nakosea wapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
unatuvuruga, mara kaenda kuishi mara kaolewa.
 
Halafu hizi nyuzi za wanaume kulia lia mbona zimekua nyingi hivi
 
Mroge tuuu!! Kwa nini akuumize moyo??

Usipowahi mroga watakuroga na mume mwenzio. ili waishi kwa uhuru.

Kwanza hawaamini km wako salama utapigwa juju mpaka utembee kinyumenyume.
Huyo dem mchawi funguka!!!

Wanajiamini nini??? Subiri uone mziki wake....utakufa una chekacheka hivi!!

Binadamu wengine si watu ni mapepo yanavinjali humu duniani mnaokotaokota tuuuu.
Huna binamu zako wewe wa kuoa?? Kajipendekeze kwa shangazj au mjomba
 
SINA PESA WAKATI ALIKUWA ANAENDA SALOON KILA WEEK
Chipx kuku almost kila siku
Na mengine huyajua sasa kwa taarifa yako
basi ulikuwa humpelekei moto vizuri acha jirani yako akusaidie[emoji23]
 
Hujatuambia kwanini ameondoka ?

Hivi kwanini msiwe mnaamishi pamoja baada ya kuoana ?
 
Hujatuambia kwanini ameondoka ?

Hivi kwanini msiwe mnaamishi pamoja baada ya kuoana ?
NYIE MMEISHIA LA NGAP
NI HV
KAMA PESA NILIKUWA NA MPA
MAPENZI NILIKUWA PIA NA MPA
SALOON KILA BAADA YA WIKI NILIKUWA NAMPATIA PESA
SASA SABABU GANI UNAYOITAKA WEWE NIKWAMBIE ILOMFANYA AONDOKE
U
 
NYIE MMEISHIA LA NGAP
NI HV
KAMA PESA NILIKUWA NA MPA
MAPENZI NILIKUWA PIA NA MPA
SALOON KILA BAADA YA WIKI NILIKUWA NAMPATIA PESA
SASA SABABU GANI UNAYOITAKA WEWE NIKWAMBIE ILOMFANYA AONDOKE
U
Sasa kama kila kitu ulikuwa una mpa na ameondoka,na hujui sababu wewe ni mjinga uliyepindukia. Huwezi ukawa timamu ukashindwa kujua sababu iliyo mfanya akaondoka. Kama hujui,huenda kutokujua kwako ndiyo sababu ya yeye kuondoka ameona huja kidhi vigezo.
 
To every action there's equal and opposite reaction. Mambo ya kani hayo
 
Hawa watu sio wakuwachukulia seriously kwenye maisha haya, mtu ambaye jina lake la mwisho linabadilika mda wowote sio wakuwaamini ata kidogo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kadai nauli yako kwa mume mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…