Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Hujamfanya hujakoleza ikavimba, tunakimbiaga wenyewe mbona. Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
Dah, nmecheka sana...ungekuwa mwanaume inaonekana ungekuwa mafia sana.
 
Jamaa kapigwa na kitu chenye ncha kali na Pisi yala Yombo kwa limbowa
Kuna jamaa mmoja tuliwahi kusaidia hii mbinu ...bahati mbaya extractor akanata hukohuko [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nitumie namba yake nikusaidie kumshauri
 
Hujamfanya hujakoleza ikavimba, tunakimbiaga wenyewe mbona. Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
Duuh kumsukuma tena !?? Aisee huo sio uungwana what if akianguka na kuumia halafu bahati mbaya akapata maumivu yatakayo msababishia umauti !?
 
Aisee iliwahi kunitokea. Nilijinasua baada ya kumuambia nasafiri kikazi na nikaja na ticket fake ndio akaondoka
 
Duuh kumsukuma tena !?? Aisee huo sio uungwana what if akianguka na kuumia halafu bahati mbaya akapata maumivu yatakayo msababishia umauti !?
Kakifa maana yake kalikuwa kabovu kalipanga kufia kwa mtu
 
Aisee! Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu.. Hatimaye leo kameondoka kenyewe kanadai kakilala hapa katachelewa kanisani kesho.. Japokua kamenuna kanalalamika kwa nini nilikua nakafukuza..
 
Wewe unatuchora hakuna kitu wala nini naan kujua unafurahisha gengee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…